About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/MEECO/news
: English
Base
English
(image) – Mkurugenzi Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Nd. Ameir Ali Ameir (Aliyesimama)ambae pia ni miongoni mwa walezi wa jumuiya hiyo akihutubia wanachama na wageni waalikwa katika sherehe za kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja Wilaya ya Magharib
(image) – Director Ministry of Labour and Cooperative Economic Empowerment ND. Ameir Ali Ameir (Aliyesimama), who also is among the guardians of the community while addressing members and invited guests at the ceremony of farewell Advisor Foreign Community MEECO Mrs Katrina Demullang held in the village of ships four Mbarali Region Urban Unguja District Gharib
Edit
(image) – Vijana wa MEECO Talent Group wakiwa wametulia baada ya kumaliza kuonesha vitu vyao vya kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja Wilaya ya Magharib
(image) – MEECO Young Talent Group having been settled after completing their farewell show items Foreign Advisor Community MEECO Mrs Katrina Demullang held in the village of four ships Mbarali Unguja Urban Region District Gharib
Edit
(image) – Mkurugenzi Ajira, Ameir Ali Ameir(aliyesimama), Bibi Mwanaidi Kassim, Mshauri wa kigeni wa MEECO Bi.Katrina na Diwani wa Wadi ya Mwanakwerekwe Nd.Kitete wakiwa katika meza kubwa katika sherehe za kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja Wilaya ya Magharib
(image) – Director Employment, Ameir Ali Ameir (who is standing), Mrs Mwanaidi Kassim, Foreign Adviser MEECO Bi.Katrina and Councillors of the Wadi Mwanakwerekwe Nd.Kitete with the large table in the farewell ceremony of the Foreign Advisor of Community MEECO Mrs Katrina Demullang held in the village of four ships Mbarali Unguja Urban Region District Gharib
Edit
(image) – Diwani wa Wadi ya Mwanakwerekwe Nd. Mohd Kitete akiwa na Sheha wa shehia ya Mwanakwerekwe Bw. Ameir Pandu(fulana blue)na sheha wa shehia ya Pangawe Bw. Abdallah Juma Mtumweni (fulana ya njano) wakiitikia wito wa kuhudhuria katika sherehe za kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja Wilaya ya Magharib
(image) – Councillor of the Wadi Mwanakwerekwe ND. Mohd volatile with the Mwanakwerekwe shehia Sheha of Mr. Ameir Wandu (blue vest) and chief of the Pangawe shehia Mr. Abdallah Juma Mtumweni (yellow vest) their invitation to attend the farewell ceremony of the Foreign Advisor of Community MEECO Mrs Katrina Demullang held in the village of four ships Mbarali Unguja Urban Region District Gharib
Edit
(image) – Mgeni rasmi katika Sherehe ya kumuaga mshauri wa kigeni wa jumuiya ya MEECO akimkabidhi Bi. Katrina zawadi mbalimbali zilitolewa na wanajumuiya hiyo
(image) – Guest of honor at the farewell ceremony of the foreign consultant community MEECO he presented Ms. Katrina gifts were given to the community
Edit
(image) – Mh.Mwanaidi Kassim akitia saini Certificate of appriciation na kumkabidhi mshauri wa kigeni wa jumuiya ya MEECO kutokana na utendaji kazi wake mzuri, katika sherehe za kumuaga zilizofanyika Melinne Mbarali Zanzibar
(image) – Kassim Mh.Mwanaidi signing the Certificate of appriciation and extraditing foreign consultant MEECO community due to its good performance, in a farewell ceremony held Melinne Mbarali Zanzibar
Edit
(image) – Mwenyekiti Kitengo cha Mazingira cha Asasi ya MEECO Bi. Halima Salum (nguo nyekundu)na Bi. Khadija Suleiman Mnoga mjumbe wa MEECO wakiwa katika Shamra shamra ya kumpokea mgeni rasmi Mh. Mwanaidi Kassim Juma Mwakilishi wa Viti maalum kwaniaba ya Naibu Waziri wa Habari, Utalii,Utamaduni na michezo katika sherehe za kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali...
(image) – Chairman of the Civil Division of Environmental MEECO Bi. Halima Salum (scarlet) and Bi. Suleiman Khadija MEECO green tobacco leaf as a member of the Shamra shamra welcome guest of Hon. Mwanaidi Juma Kassim Representative Quotas kwaniaba the Deputy Minister of Information, Tourism, Culture and Sports in the farewell ceremony of the Foreign Advisor of Community MEECO Mrs Katrina Demullang held in the village of four ships Mbarali...
Edit
(image) – Mh.Mwanaidi Kassim ambaye ndiye aliyekuwa Mgeni rasmi akimkabidhi Certificate of appriaciation Mshauri wa kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bi. Katina. katika sherehe ya kumuaga zilizofanyika Melinne Mbarali Zanzibar
(image) – Mh.Mwanaidi Kassim who was guest of honor was presented Certificate of foreign appriaciation Advisor Ms. MEECO Community. Katina. at the farewell ceremony held Melinne Mbarali Zanzibar
Edit
(image) – Wanachama wa MEECO wakiwa na Asasi rafiki ya Suza American Corner wakiitikia wito wa kuhudhuria katika sherehe za kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja Wilaya ya Magharib
(image) – Members of the Civil MEECO with American Corner friends to clean their invitation to attend the farewell ceremony of the Foreign Advisor of Community MEECO Mrs Katrina Demullang held in the village of four ships Mbarali Unguja Urban Region District Gharib
Edit
(image) – Baadhi ya waharibifu wa mazingira na pia watumiaji wa madawa ya kulevya zikiwemo bangi katika Mji wa Mwanakwerekwe wakiteremsha mchanga waliouchimbwa katika maeneo yasioruhusika na kupelekea athari mbali mbali katika jamii. MEECO inatoa elimu kuhusu uharibifu wa mazingira uliokithiri katika mji huo na Zanzibar yote kwa ujumla
(image) – Some environmental degradation and drug users, including marijuana in the City of Mwanakwerekwe been revealed sand were dug in areas yasioruhusika leading to various effects in the community. MEECO provides education about environmental degradation and poverty in Zanzibar town all general
Edit