Envaya
/TACOMO/news
: English
Base
English
(image) – Daraja la udongo hilo je ni salama ama ni kushindwa kuwajibika kwa viongozi tunaowachagua?!!!
(image) – Grade the soil is it safe or is not responsible for the leaders we choose?!
Edit
(image) – Hali hii ya watoto kula majalalani itaisha lini? tushirikiane kuokoa kizazi hiki ambacho ni tegemeo la Taifa.
(image) – This will end when children eat majalalani? cooperate to save this generation which is indisputably the nation.
Edit
(image) – NANI MWENYE HAKI YA KUMBEBA MTOTO KATI YA HAWA WALIOWABEBA WATOTO?
(image) – Who has the right to carry WALIOWABEBA CHILD BETWEEN THESE CHILDREN?
Edit
(image) – Wakina Mama wajasiliamali katika Kata ya Mshangano Manispaa ya Songea wakiuza mazao ya mbogamboga chini katika Soko la Mshangano ambapo wamekuwa wakitozwa ushuru wa kati ya Shilingi 200 na 500 kwa siku kutokana na biashara hiyo,licha ya kuwa ni hatari kwa afya za watumiaji,imekuwa ikishangaza kuona Manispaa inachukua ushuru bila kujali kutengeneza miundombinu stahiki katika soko hilo jambo ambalo linatafsirika kama ni kuwadhulumu wakina mama hao miaka...
(image) – Mothers Entrepreneurship County Mshangano Municipality of Sudbury who sold produce vegetables under Market Mshangano which have been levied tariffs of between Shs 200 and 500 per day for business, despite being a danger to the health of consumers, has been ikishangaza see Municipal taxation regardless it takes to make eligible facilities in the market which linatafsirika as they are wronged mothers 50 years of independence.
Edit
(image) – Kulia ni Mtunza hazina wa TACOMO Ezekiel Kamanga akiwa na Mkurugenzi wa TACOMO wakitafakari jambo.
(image) – Right is Treasurer of Ezekiel TACOMO Kamanga as Director of TACOMO they consider it.
Edit
Mtoto Hassan Adam mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa mtaa wa Itenzi. Nyumba namba IT/MW/669 kata ya Gombe jijini Mbeya amekuwa akinyanyaswa na kuchapwa mara kwamara na mama yake Bi Ashura Hassan na Baba yake Bwana Adam Jemedari na kumpelekea kupata majeraha kutokana na kushindwa kwenda Madrasa na kunyimwa chakula zaidi ya siku mbili na akiwa...
Baby Hassan Adam 12-year-old local resident of Itenzi. House number IT/MW/669 county of Gombe in Mbeya had been abused and was whipped by his mother Ms. Amara Ashura Hassan and his father Lord Gen. Adam and send him to get injured due to failure to Madrasa and deprived of food over two days as she lay down without mattress and sheets scrap ...
Edit
(image) – Je uvunaji huu wa kisasa unaoendelea katika shamba la shirika la kilimo Uyole Jijini Mbeya, wakulima wadogohasa vijijini watafikia hapo?
(image) – Is this a modern harvesting going on in the field of agricultural organization Uyole In Mbeya, wadogohasa rural farmers will come next?
Edit
(image) Wanafunzi wa darasa la pili wa shule ya Msingi Yala wilayani Mbarali mkoani Mbeya wakiwa nje ya madarasa yao wakijifunza kuhesabu kama walivyokutwa na Ezekiel Kamanga wa Shirika lisilokuwa na Kiserikali la TANZANIA COMMUNITY MEDIA ORGANIZATION (TACOMO)
(image) Second Class of Primary School Yala Mbarali in Mbeya region outside of their classrooms as they learn to count and Ezekiel vyokutwa Kamanga of non-governmental organization in Tanzania COMMUNITY MEDIA ORGANIZATION (TACOMO)
Edit
(image) – WAZEE HAWA WANATAKIWA KUTHAMNIWA SI KUTUMIKA KATIKA SIASA AFRIKA.
(image) – ELDERS KUTHAMNIWA THESE SHOULD NOT BE USED IN AFRICAN POLITICS.
Edit
(image) – MTOTO KUMBEBESHA MTOTO MWENZAKE JE NI MALEZI MAZURI? TUTAFAKARI!
(image) – His companion KUMBEBESHA CHILD IS CHILD IS GOOD COMMUNICATION? TUTAFAKARI!
Edit