Envaya

/cold/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
TaarifaTaarifaHariri
Asasi ya kijamii "COLD" limeadhimisha siku ya mwanamke kwa kutoa mafunzo ya namna ya kutengeneza jiko la maajabu kwa wanawake wa kikundi cha Mwamko wa kata ya Igoma, jijini Mwanza. Jiko hili hutumia kuni au mkaa kidogo sana Lengo la mafunzo hayo ni kupunguza mzigo kwa wanawake waliokuwa wakilazimika kutumia muda mwingi kutafuta kuni milimani. Mafunzo hayo yameendeshwa na raisi ambaye pia ni afisa mtendaji mkuu wa asasi hii bwana Kisumva Mathew Maziku. Wakati hayo yakiendelea Mwanza, huko Dar,...(Bila tafsiri)Hariri
Community Organization for Life and Development "COLD" is asking wellwishers to make their donation to one or for all from the following programs. 1. Sponsor a child. Children sponsorship is an amazement way to bring hope and to a child living in difficult circumstances. 669 children identified and we sponsor 66 (orphans, vulnerable, rural poor and disadvantaged) children to school. Your financial contribution can enable us to buy exercise book and text, school uniforms, shoes and school bag....Shirika la Jumuiya ya Maisha na Maendeleo "baridi" ni kuuliza wellwishers kufanya mchango wao kwa moja au kwa ajili ya wote na programu zifuatazo. 1. Sponsor mtoto. Watoto udhamini ni njia mshangao kuleta matumaini na maisha ya mtoto katika mazingira magumu. 669 watoto kutambuliwa na sisi mdhamini 66 (yatima, mazingira magumu, vijijini maskini na wasiojiweza) watoto shule. Mchango wako wa kifedha unaweza kutuwezesha kununua daftari na maandishi, sare za shule, viatu na mfuko wa shule. Kwa...Hariri
(image) – Mgeni rasmi,afisa maendeleo ya jamii kata ya Bugarama, wanachama wa COLD na wageni waalikwa wakielekea kuzindua ofisi ya shirika hili.(Bila tafsiri)Hariri
Community Organization for Life and Development "COLD" imealikwa kushiriki katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika, yatakayofanyika kimkoa katika kata ya Bugarama, kwenye eneo la utekelezaji wa shughuli zake. Siku hiyo asasi hii imekusudia kutoa sare za shule, madaftari na kalamu kwa watoto 11 walio katika mazingira magumu wanaosoma katika shule ya msingi Bugarama. Kwa kufanya hivyo COLD itakuwa inatimiza kauli mbiu ya mwaka isemayo "TUUNGANE PAMOJA KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA KUSAIDIA...(Bila tafsiri)Hariri
Community Organization for Life and Development "COLD" imefungua tawi jipya katika kijiji cha Bugalagala, wilaya ya Bukombe. Tawi hilo litafanya kazi kwa mujibu wa kanuni na taratibu zinazoiongoza COLD na si vinginevyo. Watendaji wa tawi hili watawajibika kwa uongozi wa asasi katika makao makuu ya asasi.Shirika jamii kwa ajili ya Maisha na Maendeleo "baridi" imefungua tawi jipya katika Kijiji cha Bugalagala, Wilaya ya Bukombe. Tawi hilo litafanya Kazi for mujibu Wa kanuni ya Rangi taratibu zinazoiongoza HOMA ya Rangi SI vinginevyo. Watendaji Wa tawi hili watawajibika for uongozi Wa asasi katika makao makuu ya asasi.Hariri
Community Organization for Life and Development "COLD" imeshiriki kikamilifu katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika ambayo yameadhimishwa kimkoa katika kata ya Bugarama wilaya ya Kahama, ambapo mgeni rasmi amekuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Brigedia Jenerali mstaafu, Dk. Yohana Balele. COLD imetoa msaada wa sare za shule na madaftari hamsini na tano kwa watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu kumi na mmoja, wavulana watano na wasichana sita wanaosoma katika shule ya msingi...(Bila tafsiri)Hariri
Kupitia mradi wake wa 'TEGEMEZA' inaendesha kampeni juu ya kujikinga na maambukizi ya VVU/UKIMWI, katika programu hii COLD imedhamiria kueneza ufahamu wa jinsi ya kujikinga ili kupunguza maambukizi mapya nchini Tanzania. Mpango huu unalenga kuondoa imani potofu kuhusu VVU/UKIMWI na kuhakikisha kuwa jamii ina habari sahihi zitakazowasaidia kufanya maamuzi sahihi. Mpango huu umekusudia:- 1. Kuhamasisha jamii kufikiri kuhusu mapenzi na kuwaruhusu kutathmini madhara yatokanayo na aina yoyote ya...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Wazazi/walezi wakiwa na watoto wao baada ya kupewa msaada wa sare za shule na asasi ya COLD.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Afisa Mtendaji Mkuu wa COLD ndugu Kisumva Mathew Maziku.(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri