Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Napenda kuwapongezeni Maendeleo ya Jamii na Uhifadhi wa Mazingira kwa kuliangalia suala hili kwa kina zaidi na kuweza kufahamu kuwa lina madhara juu ya jamii yetu na Nchi yetu kwani Nchi zilizoendelea zimeshaona kuwa Zanzibar ndio Jaa lao la kutupia vitu vyao kwa hiyo tunaombna kwanza ndugu zetu wafanya Biashara wakubali hilo kwanza, Pia Serikali inaweza kudhibiti hilo kwa kupitia Ofisi ya Makamo wa Kwanza, pamoja na Wizara ya Biashara ili kuzibiti uingizaji wa bidhaa chakavu Nchini mwetu.
Pia ningependelea kushirikishwa wanaazaki wanaojishughulisha na Mazingira ili kushirikiana na Serikali kwa jambo hilo kwani tunaweza kuondosha haraka iwezekanvyo kama kweli tunaipenda Nchi na Wananchi wetu. Ukizingatia kwa kina zaidi wengi wetu unaovamia bidhaa chakavu basi utakuta majumbani mwetu kumejaaa mende wadogo x2 nao huzidisha uchafu majumbani hata majaani kumejaaa mafriji mabovu, na mativii kwani ukitizama haileti hali nzuri ya Nchi yetu. kwani wizara ya Mazingira iliwezaje kuzuia mifuko ya Plastik na isiweze kuweka mkakati kwa bidhaa hizi chakavu.
NILAZIMA OFISI YA MAKAMO WA KWANZA ITAFAKARI KWA KINA ZAIDI NA IFANYE HARAKA KUCHUKA HATUA ZAIDI.
SISI TWAWEZA KWA KUSHIRIKIANA NA OFISI YA MAKAMO WA KWANZA NA WIZARA YAKE YA MAZINGIRA KWA JAMBO HILI.
|
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe