Log in

/jeanmedia/topic/19161: English

BaseEnglish
Tunaomba Mchango wenu wa maoni na mapendekezo yenu Kuhusu nini kiongezwe na nini kipunguzwe ili kupata katiba mpya. Kuchangia na kujadiliana kuhusu mada muhimu kama hii ni wajibu wetu kama wana jamii. Tunatarajia ushiriki wenu. Karibuni sana.We share your comments and suggestions about what you should be increased and what kipunguzwe to get a new constitution. Contribute and discuss important topics like this is our responsibility as a society have. We look forward to your participation. Very soon.Edit
Ahsante sana kwa mchango wako. Je unaonaje ikiwa kwamba Raisi bado abaki na kauli ya mwisho lakini taasisi nyingine kama Bunge zibaki kutoa ushauri na mapendekezo? kwasababu katika mfumo wa tawala mbali mbali duniani , kauli za mwisho huwanazo wafalme malkia waziri mkuu ama Raisi kutengemea na mifumo ya katiba za nchi zao. – Katika tawala zote hizo lazima kuwe na mtu mwenye kauli ya mwisho. Unalionaje hilo Bwana Julius na wengine wote watakao taka kuchangia mada hii inayo tugusa...Thank you very much for your input. Have you thought about whether the President still remain and that last statement but other institutions such as Parliament zibaki offer advice and suggestions? because the ruling system from around the world, the last word is they have kings, queen, prime minister or president kutengemea and constitutional systems of their countries. – In all these must be ruled by someone who last statement. Unalionaje that Lord Julius and all those who...Edit
@ COLD TZ – Kutokana na kmbukumbu ni kwamba Tanzania tumerithi katiba kutoka serikali ya kikoloni iotunngwa kwa mtazamo wa vyama vingi kala ya uhuru, lakini mara baada ya uhuru yakafanyika marekebisho mara mbili kwa msingi wa chama kimoja.Kwahiyo ni kweli lazima katiba ya sasa ishirikishe vyama vingi. Kuhusu madaraka makubwa aliokuwa nayo rahisi kwa mtazmo wa katiba hii ya sasa rejea kwenye majibu au maoni tuliyo ya toa kwa bwana julius, wa PELO, alafu...@ Cold TZ – From kmbukumbu is that Tanzania government we have inherited from the colonial charter with a view iotunngwa multiparty agencies of freedom, but immediately after independence twice Great review on the basis of party kimoja.Kwahiyo is really necessary constitutional multiparty ishirikishe now. About the major powers had had it easy with another aspect of this present constitution in answers or comments refer to what we gave to Mr Julius,...Edit
MAPUNGUFU NI MENGI, MOJA KUNA KIFUNGU CHA 46 , KINA TOA KATAZO L A RAIS KUTO SHITAKIWA NA MTU YEYOTE, BALI NI BUNGE TU, HIVI, FIKIRIA BUNGE HILO NDILO LILILOJAA WABUNGU WA CCM, JE WATAKUWA TAYARI KUMBULUZA MTU WAO, PIA KUNA HATUA NYINGI MPAKA KUFIKIA KUMSHITAKI RAIS, NDIO MAANA RAIS ANATAPANYE MALI ZA UMMA KWANI ANAJUA KATIBA ITAMLINDA, NA NDIO MAANA VIONGOZI WENGI WANAKUWA WABADHILIFU ZAIDI, WAKIWAACHA WANANCHI WAO WAKIWA MASIKINI WA KUTUPWA.Limitations are many, ONE THERE SECTION 46, PRESIDENT OF CHINA Remove prohibition not to be charged by anyone, but ASSEMBLY ONLY, THIS, THINK ASSEMBLY OF caterpillar that is filled with CCM, Will there be KUMBULUZA READY THEIR MAN, THERE IS TOO MANY STEPS until you reach sue PRESIDENT, IS THE MEANING OF PUBLIC PROPERTY ANATAPANYE PRESIDENT WHO KNOWS THE CONSTITUTION ITAMLINDA, and that is why They become WABADHILIFU MANY MORE LEADERS, them POOR PEOPLE Aside from the...Edit
Mapungufu yaliyomo katika katiba ya sasa ni:- 1. Katiba hii ilitungwa katika mfumo wa chama kimoja hivyo ni dhahiri kuwa inakibeba chama hicho. 2. Katiba hii inampa raisi mamlaka makubwa mno, pamoja na vyombo vya kiutendaji; hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuhoji hasa katika mfumo wa vyama vingi. 3. Uteuzi wa watendaji wa taasisi za kiutendaji kama taasisi ya kuzuia na kupambana rushwa (TAKUKURU) na tume ya maadili ya viongozi uko chini ya raisi hivyo kushindwa kutoa mwanya wa kuhoji. 4. Raisi...Limitations contained in the current constitution is: - 1. This Constitution was organized in a one-party system, it is obvious that inakibeba party. 2. This constitution gives the president greater authority too, with executive agencies, a Tanzanian who is no ability to question, especially in multi-party system. 3. Appointment of administrators of institutions interact as an institution to prevent and fight corruption (TAKUKURU) and the ethics commission of officials below the president thus...Edit
MAPUNGUFU YAPO NA YENYE KUWEZA HATA KUSABABISHA MIGOGORO MIKUBWA KATIKA NCHI YETU AU KUSABABISHA VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE HUSUSANI KATIKA MFUMO WA UTAWALA KWA MAPANA YAKE,MFANO MUINGILIANO WA KIKATIBA KTK UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU KATI YA MKUU WA WILAYA, MEYA/MWENYEKITI WA HALMASHAURI NA MKURUGENZI WA WILAYA. HAYA MAENEO YANATAKIWA KUTIZAMWA UPYA KWA UMAKINI KATIKA KATIBA ...Limitations exist and the potential to even cause major crisis in our country or cause civil war Especially GOVERNANCE FRAMEWORK FOR breadth, IMAGE INTERFERENCE OF CONSTITUTIONAL KTK IMPLEMENTATION OF RESPONSIBILITIES BETWEEN THE DISTRICT, Mayor / CHAIRMAN OF THE BOARD AND DIRECTOR OF DISTRICT. THESE NEW AREAS KUTIZAMWA should seriously NEXT NEW CONSTITUTION IN ORDER TO TAKE AWAY THE CONFLICTS MUST BE NON KTK OUR COUNTRY, PEOPLE For those sufficiently educated to do...Edit
Katiba ya sasa ishirikishe vyama vingi vya siasa, itakuwa rahisi kupata ushiriki wa watanzania. Kama Rais atabaki na kauli ya mwisho bado tu kutakuwa na mianya itakayokuwa uchochoro wa kupitisha maamuzi yasiyo sahihi ama kulingana na maslahi binafsi. Hivyo nashauri taasisi za kiutendaji zote ziwekwe chini ya bunge na uteuzi wao ufanyike bungeni, Rais awe ndiye mwenye kutoa ushauri au mapendekezo.The current Constitution ishirikishe multiparty politics, it would be easy to get the participation of Tanzanians. If the President will abide by the final statement just yet there will be loopholes which will be to pass a narrow passage of incorrect decisions, or according to personal interests. So I advise all executive institutions be kept under the parliament and their selection is done by parliament, the President should have the owner provide advice or recommendations.Edit
Katiba yetu, Zanzibar igawanye ktk mikoa. (muungano), Spika asitokee chama chochote. Katiba iweze kuzibiti muda wa wawekezaji kumiliki ardhi. Jaji mkuu asiteuliwe na rais, iwe sehemu ya ajira na watu kusomea nafasi hiyo. Katiba ijayo ikatae suala wastaafu kurudishwa makazini mf. Serikali ya JK.mawaziri-wakuu wa mikoa-wakuu wa wilaya.. Eti mstaafu Eng..... katiba ya Zanzibar isiingilie katiba na mamlaka ya serikali kuu, au serikali ya mseto. Nalia na madaraka ya rais yamezidi sana.Our Constitution, Zanzibar ktk divide regions. (Union), the Speaker should not appear any party. Constitution kuzibiti term investors can own land. Chief justice appointed by the president should not, be part of the employment and learning opportunity. Refuse to issue retired the next constitution reinstated eg. Government JK.mawaziri-regional-district chief .. Let Eng retired ..... isiingilie Zanzibar constitution constitution and powers of central government or coalition government. Nalia and...Edit
katiba ya sasa inamnyima haki ya kujieleza bila mipaka kama katiba inavyosema katika kipengele cha muswada wa haki za binadamu kinavyosema, kwani baadhi ya taasisi za serikali zinafanya kazi chini ya ofisi ya rais hivyo watu hushindwa kuuliza kitu chochote juu ya utendaji wa taasisi hizo.mfano takukuru. hivyo suala hili litazamwe upyaaaa,(Not translated)Edit
Kuna mapungufu gani hasa katika katiba ya sasa yanosababisha wananchi kutaka Katiba mpya?There are limitations on what exactly the current constitution yanosababisha people wanting a new Constitution?Edit