Base (Swahili) | English |
---|---|
Kutokana na mradi huu tumeweza kushirikisha Halmashauri ya wilaya, watendaji wa kata na madiwani na kupeana mikakati na wajibu wa kila mmoja ili kuhakikisha makundi yalio katika hatari ya kuathiriwa na umasikini yanasaidiwa. |
With this project we have been able to involve the district councils, county executives and mayors, and sharing strategies and the responsibility of everyone to make sure the groups are in danger of hunger and poverty They were supported. |
Translation History
|