Base (Swahili) | English |
---|---|
TEYODEN YAJIANDAA KUFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI NGAZI YA WILAYA BAADA YA KUMALIZA UCHAGUZI WA VIONGOZI KATIKA VITUO VYA KATA 30 MANISPAA YA TEMEKE. Mtandao wa vijana manispaa ya temeke kwa usimamizi wa Halamashauri ya manispaa ya Temeke imemaliza uchaguzi wa viongozi wa vijana katika vituo vya vijana 30.Katika uchaguzi huu wa wilaya viongozi 6 wanategemewa kupatikana,wakiwa ni mwenyekiti,katibu na mweka hazina kikuwa na msaidizi mmoja kwa kila nafasi ya uongozi.Afisa maendeleo wa jamii na afisa maendeleo ya vijana waliwataka vijana pamoja na viongozi kuhakikisha wanahamasisha vijana kujitokeza na kufanya uchaguzi huo kwa amani pasipo marumbano yoyote.uchaguzi huu unategemewa kuwaweka viongozi watakaochaguliwa katika madaraka kwa muda wa miaka 3.Vijana katika hatua nyingine vijana wanajiandaa ngazi ya kata ili kuhakikisha wanapata nafasi katika uchaguzi huo. |
TEYODEN confirm MAKING ELECTION OF LEADER OF THE DISTRICT LEVEL ELECTIONS After completion of the leaders in Ward 30 municipal centers of TEMEKE. Network of Youth municipality Temeke management Halamashauri the municipal Temeke Finished choice of the leaders of the youth in the centers of young 30.Katika this election district leaders 6 are expected to be found, as is the chairman, secretary and treasurer, was assistant to one for every space uongozi.Afisa community development and youth development officer asked the youth and encourage young leaders to make sure they come out and do the poll peacefully without marumbano yoyote.uchaguzi is expected to elect leaders who will keep them in power for years 3.Vijana in the next step young people are preparing to ward level to ensure they have a chance in the elections. |
Translation History
|