Envaya

/takuuki/news: English

BaseEnglish
Wafuatao ni viongozi wa Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Kitangari. – Abdallah M.Teja Mw/Kiti 0784190856 – Mohamedi R.Ngozi Makamu Mw/Kiti 0784864061 – Ng'onye S.John Mkurugenzi 0784224885 – Veronica L.Maluchila Mtunza hazina 0787633530 ...The following are the leaders of the Institute of Anti-AIDS Kitangari. – Abdallah M. Teja Mw / Seat 0784190856 – Mohamedi R. Skin Vice Mw / Seat 0784864061 – Director John S. Ng'onye 0784224885 – Veronica L. Maluchila treasurer...Edit
Kikao cha viongozi wa Asasi kwa ajili ya kuwaandaa washiriki kimefanyika tarehe 12/2/2011. Katika picha ni viongozi wa Kata ya Malatu na Mchemo. Viongozi hao walikuwa wanasikiliza maelekezo ya sifa za kuteua washiriki. – (image) – Katika picha Makamu Mwenyekiti Ndugu Mohamedi R Ngozi aliyesimama katika picha alifungua kikao cha viongozi wa serikali na kuwasisitiza umakini na...Session leaders prepare organizations for participants has been done on 02.12.2011. In the picture are leaders and Mchemo Malatu County. Those leaders were listening to the instructions of the features of appointing members. – (image) – In pictures Vice Chairman Mohamed R Ngozi brothers who stood in the photo session was opened by government officials kuwasisitiza seriously and honestly in...Edit
MKURUGENZI WA TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI NDG. SAIDI NG'ONYE JOHN ni msimamizi mkuu wa Mradi wa UNASIHI NA UPIMAJI HIARI WA VIRUSI VYA UKIMWI. Hapa kuna Taarifa ya Utekelezaji ya Robo mwaka iliyopita ya Miezi ya Januari hadi Machi kwa Kata za Malatu na Mchemo Wilaya ya Newala. – Taarifa inayotolewa ni kwa Muundo wa The Foundation For Civil Society. – (document)DIRECTOR OF THE INSTITUTE OF AIDS KITANGARI Mr. JOHN NG'ONYE Saidi is the chief administrator of the BTP project and testing voluntary HIV. Here is a report on the Implementation of the quarter in the previous months of January through March for the County of Malatu and Mchemo Newala District. – Information provided is for the structure of The Foundation For Civil Society. – (document)Edit
TAARIFA YA FEDHA YA MRADI WA UNASIHI NA UPIMAJI HIARI WA VIRUSI VYA UKIMWI KATA ZA MALATU NA MCHEMO Wilayani Newala imeandaliwa na Mtunza Hazina wa Asasi ya TAKUUKI Ndg. Veronica Maluchila. – Taarifa ni kwa Muundo wa The Foundation For Civil Society. – (document)REPORT TO FINANCE THE PROJECT'S COUNSEL and testing voluntary HIV wards MALATU NA MCHEMO District Newala designed and Treasurer of the Organization of TAKUUKI Mr. Veronica Maluchila. – Information is the structure of The Foundation For Civil Society. – (document)Edit
KIKAO cha Kikundi cha Waishio na Vrusi vya UKIMWI na Mkurugenzi wa Taasisi ya kupambana na UKIMWI Kitangari chaleta changamoto. – Kikao hicho kilichofanyika tarehe 20 Agosti,2010 katika ukumbi wa kituo cha Afya Kitangari chini ya mlezi wake Ndg.Florence Mnipa, kimeeleza changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo wana mtandao hao. – Kubwa kabisa ni pale walipomwelekeza Mkurugenzi wa Taasisi ya kupambana na Ukimwi Kitangari kwamba jamii...Group Session Vrusi living with HIV and Director of the Institute for AIDS Kitangari brings challenges. – The meeting was held on August 20, 2010 in Hall Health Centre under the guardian Kitangari Ndg.Florence me, kimeeleza challenges they experience and they have the internet. – Is quite large when they pomwelekeza Director of the Institute of fighting AIDS Kitangari inawanyanyapaa society around them. – Director wanted to...Edit
TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI YAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MRADI WA UNASIHI NA UPIMAJI WA HIARI WA VVU. – Kikao hicho kilichowahusisha viongozi wa serikali kutoka kata za Malatu naAnti-AIDS INSTITUTE KITANGARI Make SESSION OF THE PREPARATION AND BTP voluntary testing for HIV. – Kilichowahusisha session of government officials from counties and MalatuEdit
TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI IMEFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MRADI WA UNASIHI NA UPIMAJI WA HIARI WA VVU. – Kikao hicho kilichowahusisha viongozi wa serikali kimefanyika tarehe 12/02/2011 Kituo cha Mchemo Lengo. – Viongozi walisisitizwa na mtaalamu kuzingatia kufanya uteuzi kwa makini bila kuelemea upande mmoja. ...Anti-AIDS INSTITUTE KITANGARI It has SESSION OF THE PREPARATION AND BTP voluntary testing for HIV. – Kilichowahusisha session of government officials has been done on 02/12/2011 Centre Mchemo goal. – Officials were encouraged to make appointments based on professional attention without annoying side. ...Edit