Base (Swahili) | English |
---|---|
TAARIFA YA MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE KWA KIPINDI CHA UTEKELEZAJI CHA JAN-APRILI 2010 KUTOKA: MTANDAO WA MAENDELEO YA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE (TEYODEN) KWENDA KWA: MKURUGENZI WA HALMASHAURI MANISPAA YA TEMEKE 1.0 UTANGULIZI TEYODEN katika kipindi cha utekelezaji cha taarifa hii imefanikiwa kutekeleza shughuli mablimbali.Taarifa hii inalengo la kueleza shughuli zilizofanyika,mafanikio changamoto na mapendekeozo ya vijana katika kipindi cha uutekelezaji wa taaifa hii. 2.0 SHUGHULI ZILIZOFANYIKA 1.1 Mjadala wa vijana centre 1. Kama ilivyo kawaida kwa vijana wa TEYODEN kufanya midahalo kila jumamosi mbili katika mwezi.Katika kipindi cha taarifa vijana walifanya midahalo 8 na wastani wa vijana 247 walishiriki katika midahalo hiyo. MADA IDADI YAVIJANA MASUALA YALIYOIBULIWA MAPENDEKEZO YA VIJANA Kilimo kwanza 42 > Uelewa mdogo wa vijana kuhusu dhana nzima ya kilimo ya kwanza. > Suala la upatikanaji wa rasilimali ardhi lilionekana kuwa ni changamoto miongoni mwa vijana. > Upatikanaji wa mitaji kwa ajili uanzilishi wa kilimo /ununuzi wa pembejeo. > Kuinua uelewa juu ya Kilimo Kwanza ili kuwawezesha vijana kushiriki kwa kiwango kikubwa na kuondoa umasikini . > Kutia mkazo wa utekelezaji wa Kilimo Kwanza kwa vijana. > Kuwawezesha vijana katika upatikanaji wa rasilimali ardhi ili waweze kushiriki katika nyanja ya Kilimo kwa ujumla. Uanzishaji na Uendeleaji wa SACCOS 49 > Kiwango cha fedha cha kuanzisha SACCOSS kimeonekana kuwa ni kikubwa na hivyo kuwakwamisha vijana wengi kushindwa kuanzisha kuendesha SACCOS hizo. >Vijana wajitolee kwa hali na mali ili kuanzisha SACCOS itasaidia sana kwa kuwafanya kupata mitaji katika shughuli za ujasiriamali. > Uhamasishaji na elimu zaidi ya ujasiriamali kwa vijana inahitajika ili kuwavuta vijana wasio na taarifa na elimu ya ujasiriamali. Usawa wa kijinsia 38 > Uelewa mdogo kwa vijana juu ya usawa wa kijinsia ilionekna kuwa ni changamoto kwa vijana walio wengi. > Ili kuendana na kutekeleza yaliyokubaliwa ktika mkutano wa Beijing, elimu zaid inahitajika kwa vijana katika suala la Usawa wa Jinsia. VVU/UKIMWI katika maendeleo ya vijana. 50 > Katika sual hili, vijana waliibua changmoto ya upanukaji na kutandaa kwa elimu sahihi ya VVU/UKIMWI hivyo kuonekana kuwa bado ni changamoto kwa vijana > Elimu, uhamasishaji na usimmizi wa uwajibikaji unahitajika zaidi ili kuleta msisitizo kwa vijana. > Vijna wajitolee na kuunda vikundi vya uhasishaji na utoaji elimu ili kuleta msukumo wa kuondokana na tatizo na kubakiza nguvukazi ya taifa. vijana na Uchaguzi 31 > Vijana walio wengi wameonekana kuwa nyuma katika suala zima la uchaguzi kwa uchaguzi na kuona kuwa suala hilo ni la wazee na si vijna. > Elimu na uhasishaji pamoja na fursa za vijana katika uchaguzi inahitajika zaidi ili kuleta mvuto kwa vijana na kuibua ushiriki mzuri wa vijana. ushiriki na ushirikishawaji wa vijana kijamii na kimaendeleo 37 > Katika kujadili mada hii, suala la imani limeonekana kuwa ni changamoto kwa vijana kwa kuwa vijana wengi wameonekana hawaaminiki katika kuleta mabdiliko ya kimaendeleo katika jamii. > Vijana wapewe fursa ya kushirikishwa katika mambo ya kimaendeleo ili waoneshe imani na uwezo wao. Katika kipindi cha utekelezajitaarifa hii viongozi wanachama na walengwa wa TEYODEN walipata nafasi ya kushiriki shughuli mbalimbali kaaifutavyo:- 1.) Mafunzo ya Stadi za amaisha kwa Vijana 72 kwa kta 24 za manispaa ya Temeke na vijana 3 kutoka kila kata kwa muda wa siku 14. 2.) Mafunzo ya sera ya vijana yaliyofanyika katika kituo cha vijana cha Makangarawe yaliyoshirikisha vijna 40, aidha mafunzo hayo yalikuwa ya siku 3. 3.) Mafunzo ya kujenga uwezo kupitia taasisi ya vijana ya Sokoine katika kata ya Somangila, mafunzo hayo yalishirikisha vijana 22 kwa siku 5. 4.) Ziara ya vituo vya vijna vya kata ili kukagua uhai wa vituo. 5.) Kupokeas ugeni kutoka wizarani. Aidha katika shughuli zote, vijana / walengwa walipata fursa ya kuwezeshwa na kushiriki katika mambo mbalimbali ya vijana. ` 4.0 HITIMISHO TEYODEN inaamini kuwa mabadiliko kwa vijana yatakayochangia maendeleo ya vijana yanawezekana kama vijana wanapewa uzito na fursa zinaostahili katika kupanga, kutekeleza, kufuatilia na kutathmini shughuli za maendeleo. Viongozi wa TEYODEN na vijana siku hadi siku wamekuwa wakiongezewa uwezo katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao ipasavyo. Hivyo tunawashauri wadau kutumia fursa hii adimu kwa kuwatumia ili kutatua matatizo ya vijana.vijana tukijiwezesha na kuwezeshwa tunaweza. |
Youth Network Information Temeke Municipality ACTION BY THE TIME Jan.-April 2010: FROM: Youth Development Network Temeke Municipality (TEYODEN), GO TO: BOARD OF DIRECTOR Temeke Municipality,: 1.0 INTRODUCTION TEYODEN during the implementation of this report has succeeded in implementing this activity inalengo mablimbali.Taarifa describe the activities held, achievements and challenges of youth in mapendekeozo uutekelezaji period of this taaifa.,, held ACTIVITIES 2.0,: 1.1 Discussion of Youth Centre 1. As is usual with young TEYODEN do two debates in mwezi.Katika every Saturday during the youth reported they did eight debates with the average 247 young people participated in the debates. topic number YAVIJANA ISSUES RECOMMENDATIONS YALIYOIBULIWA Youth,: 42 First Agriculture> Awareness younger youth about the whole concept of agriculture first.,:> The issue of availability of land resources is a challenge that appeared among the youth. ,:> Access to capital for agricultural establishment / purchase of inputs. > Raising awareness about the First Agriculture to enable young people to participate significantly to poverty reduction. ,,> Put emphasis on the implementation of the Agricultural Youth First. ,:> To enable young people access to land resources in order to participate in aspects of agriculture in general. ,, Establishment and continued significant SACCOS 49> Rate of setting up funds SACCOSS have proved somewhat larger and so many young kuwakwamisha SACCOS failure to establish such conduct. > Youth wajitolee status and wealth to start SACCOS very helpful in making access to capital and entrepreneurship activities. ,,> Promotion and education for youth entrepreneurship than is needed to attract young people with no notice and entrepreneurship education. ,: 38 Gender Equality> Awareness younger youth about gender equality ilionekna be a challenge for most youth. > To cope with the sisters in the meeting approved the implementation of Beijing, more education is needed for youth in terms of Gender Equality. ,, HIV / AIDS in the development of youth. 50> In this visual, young men creates upanukaji changmoto the proper education and networking for HIV / AIDS that still seem to be a challenge for young people> Education, promotion and management accountability is needed to bring more emphasis on youth. ,,> Vijna wajitolee uhasishaji groups to form and delivery of education to bring pressure to eliminate the problem and kubakiza national workforce. ,, 31 youth and Elections> Youth majority were found to be behind the whole issue of choice in the election and see that it is older and not vijna. > Education and uhasishaji with opportunities for young people needed more choices to bring influence to young people and stimulate better participation of young people. Ushirikishawaji of youth participation and social development 37> In discussing this topic, the issue of faith limeonekana be a challenge for young people because young people have seen can not be trusted to bring mabdiliko development in the community. > Children should be given the opportunity to share in matters of faith and development so that their ability waoneshe. During this utekelezajitaarifa targeted leaders and members of TEYODEN got a chance to share activities kaaifutavyo: -,: 1.) Amaisha skills training for youth 72 to 24 municipal kta Temeke and three youths from each ward for 14 days. ,, 2.) Training policy for young people held in a youth center Makangarawe yaliyoshirikisha vijna 40, either the training it was three days.,, 3.) Capacity building through training of youth organizations in the ward Sokoine Somangila, training yalishirikisha these young 22 to 5 days. ,, 4.) Vijna visit centers of life up to inspect the facilities. ,,,, 5.) Kupokeas stranger from wizarani. ,,,, Also in all activities, youth / beneficiaries were empowered by the opportunity to participate in youth issues. 4.0 CONCLUSION ` TEYODEN believes that changes in youth yatakayochangia youth development are possible if youth are given the opportunity zinaostahili weight in planning, implementing, monitoring and evaluating development activities. TEYODEN and youth leaders from day to day have been given more power to ensure they are fulfilling their duties properly. So we advised the stakeholders to use this rare opportunity to use them to solve problems and enabled vijana.vijana we make we can. |
Translation History
|