Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
@BY SIMION SIMBUJILE (MTWARA KUTOKA SHIRIKA COMMUNITY BASIC EDUCATION FOR DEVELOPMENT (COBED)): Nakubaliana kabisa na wewe ndugu yangu. Maana mpaka sasa suala la ufisadi limekuwa ni kama hekeya na simulizi, kwa ajili ya kuburudisha uma. Halijachukuliwa kama tatizo linalohitaji kushughulikiwa. Lazima utafutwe ufumbuzi ili kurejesha imani ya raia ambayo kwa sasa imeathirika. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe