Base (Swahili) | English |
---|---|
Wanachama na viongozi wa MEECO walioshiriki katika mafunzo ya utawala bora ndani ya Asasi. Mafunzo hayo yalidhaminiwa na shirika la the foundation for Civil Society la Dar-es-Salaam. Kuanzia upande wa kulia walioinama ni katibu wa Asasi ambae pia ni Mratibu wa Mradi huo Ndugu Suleiman Jeni Pandu, akifatiwa na Mwenyekiti wa Asasi Ndugu Abdallah Ali Hassan |
(Not translated) |