Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Vijana hatarishi katika masuala ya uharibifu wa mazingira kwa kuchimba mchanga walio jaa katika Mji wa Mwanakwerekwe, vijana hawa vilevile hutumia bangi na madawa ya kulevya ili kujipatia vipato vyao na huwa hatari sana kwa wapenda maendeleo kwani huwa wanachukuwa silaha mbalimbali katika harakati zao za haramu |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe