Shirika la NURU HALISI jana tarehe 28 July ilikabidhiwa rasmi tuzo ya mazingira iliyotolewa tarehe 5 May 2010 na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Tuzo hiyo ilikabidhiwa na mkuu wa kitengo cha Mazingira kwa niaba ya Mkurugenzi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala. Hafla ya kupokea tuzo hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Arawa Mazizini Ukonga.