Log in

/cyf/news: English

BaseEnglish
(image) Vijana wa kata ya Kanyenye wakiwa katika Majadiliano juu ya Changamoto na Matamko ya Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana.(image) Kanyenye young ward amid the talk about the challenge and the National Policy Statement for Youth Development.Edit
(image) Mkurugenzi Mtendaji - Alfred Pigangoma (mwenye suti) akibadilishana mawazo na Mr. David Mtinya - kutoka asasi ya TACEDE wakati wa majukwaa ya vijana.(image) Executive Director - Alfred Pigangoma (a suit), he exchanged views with Mr. David Mtinya - from organization TACEDE during youth platforms.Edit
(image) Wajumbe wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) katika picha ya pamoja wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza - Dar es Salaam. Mkurugenzi wa CYF Bw. A. D. Pigangoma (aliyesimama mstari wa mbele wa 5 kutoka kushoto)(image) Members of the Tanzania Education Network (TEN / MET) in the picture with during the meeting held in the hall of Ubungo Plaza - Dar es Salaam. CYF Director Mr. AD Pigangoma (who stood at the forefront of the fifth from left)Edit
(image) Vijana wa kata ya Mbugani wakisoma changamoto zilizopo kwenye Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana.(image) Young cut the wilderness reading challenges in the National Youth Development.Edit
(image) Mrejesho wa pamoja baada ya majadiliano ya Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana. Majadiliano yanayoendeshwa na asasi yetu ya CYF.(image) Feedback after discussion with the National Youth Development. Talk of our organization run by CYF.Edit
(image) Vijana wa Kata ya Mbugani wakijadili changamoto na matamko ya sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana katika majukwaa yanayoendeshwa na CYF(image) Young County wilderness they discuss the challenges and policy statements of the National Youth Development in forums run by CYFEdit
(image) Mtendaji wa fedha Bi Catheline Isaac na Bw. Jonathan Tema - mtendaji wa majukwaa ya vijana wakibadilishana mawazo wakati wa michakato ya midahalo.(image) Managing money Catheline Ms. and Mr. Isaac. Jonathan Tema - the young executive forums they exchanged ideas during the process of dialogue.Edit
(image) Vijana wa kata ya Kanyenye, Manispaa ya Tabora wakiwasirisha baada ya kujadiliana juu ya yale yaliyoandikwa kwenye sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana.(image) Young Ward Kanyenye, Tabora Municipality after they angered Us deliberate on what is written on the policy of the National Youth Development.Edit
Vijana wakitafakari baada ya mirejesho ya changamoto na matamko ya Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana. – (image)(Not translated)Edit
(document)(Not translated)Edit