Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
@JASMINE MOHAMED (BARIADI SHINYANGA): Jasmine, Nashukuru na nakupongeza kwa jinsi unavyojali mazingira. hii inaonyesha ni kwa kiasi gani watu tulivyo na mwa mwamko kuyalinda mazingira yetu popote tulipo. Lakini ni kwa kiasi gani unaguswa na miti yetu yenye kutoa dawa za asili ni swala la kukupongeza pia. Pamja na TASSCO wote kwa pamoja tupiganie hili na hasa sisi wadau wa mazingira na miti |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe