Envaya

/HUCADE/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image) – Binti Sandra Omari ni yatima akifurahia zawadi aliyopata kabla hata ya kuifungua(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Kijana Gabriel wamezaliwa mapacha na mwenzake ambaye ni mzima kabisa bali yeye anakabiliwa no ongezeko la maji katika kichwa na anahitaji kufanyiwa operation.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mazoezi ni sehemu ya mafunzo na afya kwa kuwajenga kimwili na kiakili. Watoto wa HUCADE wakiwa uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya viungo(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Watoto yatima wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kanisa la KKKKT usharika wa Ilboru mtaa wa Tumaini.(Bila tafsiri)Hariri
The Huruma Care Development (HUCADE) is a small NGO registered in the Country of Tanzania with No 00002456 under Non-Governmental Organization Act, 2002, founded on 2008 at ARUSHA with now 11 Orphans and 86 others are in the Community. The aim of HUCADE is to provide Mercy & Social Development programmers and project in all the Arusha Region especially at Pastoral areas. – For now we have already hire house for the center at...Ya Huruma Care Maendeleo (HUCADE) ni shirika lisilo la kiserikali iliyosajiliwa ndogo katika nchi ya Tanzania na No 00,002,456 chini isiyo ya Kiserikali ya 2002, imejengwa juu ya 2,008 katika ARUSHA kwa sasa 11 yatima na wengine 86 ni katika Jumuiya. Lengo la HUCADE ni kutoa rehema & Social programmers Maendeleo na mradi wote wa Mkoa wa Arusha hasa katika maeneo ya wafugaji. – Kwa sasa sisi tayari kukodisha nyumba kwa ajili...Hariri
(image) – watoto wa HUCADE wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kugawiwa zawadi(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Hili ni mwonekano wa jengo la kituo cha watoto cha HUCADE kwa upande wa mbele(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Huyu ni kilema wa macho ambaye nyumba yake ilianguka kutokana na mvua nyingi na kupata msaada wa hifadhi katika kituo chetu hadi sasa kwani ameshindwa kabisa kujenga nyumba na pia ana watoto watatu ambapo mmoja kituo kinamsomesha(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Watoto wakiwa wamepumzika baada ya mazoezi(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Watoto wakiwa pamoja na mwalimu na mkurugenzi wao wa HUCADE katika jengo la darasa ambalo halijakamilika(Bila tafsiri)Hariri