About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/tawa/news
: English
Base
English
Interview 3 – 1.Unaishi eneo gani?! – Magulumbasi 'B' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Kuvunjwe nyumba ambazo zimejengwa kando ya mtaro,kutengenezwe njia ya maji kutoka keko darajani mpaka bahari ya hindi. Kutengenezwe njia ndogo ndogo zitazoweza kupitisha maji kwa urahisi na mitaro izibuliwe mara kwa mara. 3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu...
Interview 3 – What 1.Unaishi area! – Magulumbasi 'B' – Your 2.Mtaa What you need something very much! – Broken homes that were built along the contours, kutengenezwe Keko through the water from the causeway to the Indian Ocean. Kutengenezwe zitazoweza pass through small water drainage izibuliwe easily and often. What 3.Mafuriko localized effect on the house you lived with your things!...
Edit
Interview 4 – 1.Unaishi eneo gani?! – Keko mwanga 'A' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Kutengeneza mifereji,kudhibiti na kubomoa watu waliojenga bila mpango maalumu. Tuliopo mabondeni tuhamishwe maeneo bora zaidi. 3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! – Mali zangu zote za ndani zimepotea,vifaa vya kazi yangu kama mashine ya kuranda...
(Not translated)
Edit
Survey ya Athari za Mafuriko,Keko Wilaya ya Temeke. – Yafuatayo ni Maswali na majibu: – 1.Unaishi eneo gani – Mtaa wa Magulumbasi 'A' – 2.Mtaa wako Unahitaji kitu gani sana sana – Mtaa wangu unahitaji – Kutengenezewa mirefereji midogo midogo itayoweza kuzunguka nyumba na kupitisha maji kwa urahisi sehemu zote. Kutengeneza mipaka...
Flood Impact Survey Keko Temeke District. – Following are questions and answers: – What area 1.Unaishi – Magulumbasi Street 'A' – What do you need your 2.Mtaa very – My local needs – Kutengenezewa mirefereji micro itayoweza around the house and water easily pass all parts. Forming the boundaries separating itayosaidia house to...
Edit
We have been conducting a survey on the areas which affected by floods in which the Tanzania Govement have never reached , such as Mto kizinga Mbagala Mission, Mto Kizinga Mtongani bondeni, Bonde la mpaka wa Mbagala and Yombo Buza , Keko viwandani and others..The mentioned places and others,are places which the media did not visit hence it was visible to access the aids which was given by the Govenment and other stake holders .Following this situation we...
(Not translated)
Edit
Maswali na majibu ya wahanga wa mafuriko{Mto mzinga Mbagala Mission) – 1)Mtaa wako unahitaji kitu gani? – Tunahitaji, maji safi na salama, barabara, mitaro ya kuruhusu maji kupita kwa urahisi kipindi cha mvua – 2)Unaishi eneo gani? {Mtaa gani} – Mtaa wa darajani mto mzinga Mission – 3}Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako? – Mali zangu zote zimepotea ikiwemo ,pesa, nguo magodoro...
Questions and answers to the victims of floods {River hive Mbagala Mission) – 1) Your Local what you need? – We need, clean and safe water, roads, drainage allowing water to easily pass the rainy season – 2) Do you live what areas? {What} Street – River Causeway Street a hive Mission – 3} How effective localized flooding in the house you lived with your things? – All my possessions have been lost, including money,...
Edit
Interview 2 – 1.Unaishi eneo gani?! – Keko Magurumbasi 'A' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Kutengenezwe mkondo wa maji kutoka darajani,mpaka kurasini shelly ili kuruhusa njia ya maji kuelekea bahari ya hindi. Kuwepo na eneo maalumu la kuweka taka. 3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! – Vitu vyote vya ndani vimeharibika,TV,kabati,magodoro...
Interview 2 – What 1.Unaishi area! – Keko Magurumbasi 'A' – Your 2.Mtaa What you need something very much! – Kutengenezwe stream of water from the causeway, until Kurasini Shelly to support through the water towards the Indian Ocean. The presence and specific location of laying waste. What 3.Mafuriko localized effect on the house you lived with your things! – All items in null, TV...
Edit
5}Vyanzo vya ubora wa maji kwenu yamepata athari gani kutokana na mafuriko? – Athari ni kubwa zinazotokana na mafuriko kwani maji tunayotumia ni ya visima hivyo kutokana na kubomoka kwa vyoo maji tunayotumai siyo salama kwa matumizi ya binadamu .vilevle tuko mabondeni hivyo maji machafu yanayotoka meaneo yaliyo kwenye miinuko na majalala ya kiholela uchanganyikana na maji tunayotumia,Hivyo hatuna jinsi ukizingatia maji ni uhai kwa binadamu tunalazimika kuyatumia wakati...
5} The sources of water quality of what you have found traces of the floods? – The impact is huge disruption and flooding as the water we use is of wells due to crumble to the toilet water we yotumai not safe for human consumption. Vilevle are valleys so the water drains coming meaneo floating on hills and dormant for arbitrarily intermixed with the water we use, so we have no way based on water is a human life we have to use when we know the impact on us, there is also...
Edit
Interview 5 – 1.Unaishi eneo gani?! – Keko mwanga 'B' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Kuzibuliwa mitaro,kujengwe mifereji,kuvunjwe kuta zitazozuia maji. – 3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! – Vitu vyangu havikuharibika,niliwahi kuvihamisha juu ya bati. – 4.Mafuriko yameleta athari gani kwenye maisha yako ya kila siku?! ...
(Not translated)
Edit