Envaya

/SAJAKU/topic/25292/add_message: English

BaseEnglish
Hivi ni kweli uchumi wa Tanzania unaendeshwa na Vileo tu? Kwani kila bajeti utaona na kusikia Sigara na Bia juu,inakuwaje hapa?This is true of the Tanzania economy is driven by today? For every budget you will see and hear on cigarettes and beer, how can this?Edit
Kwa jinsi ninavyoona na mikwara mingi inayowekwa na Spika wa Bunge kwa wale wote wanaokataa kupokea Posho zao ni vigumu sana wabunge wetu kuacha kupokea Posho,kwani nimegundua Wabunge wengi wametolea macho sana hizo Posho,Lakini hata muda mwingine najiuliza kitu kimoja hivi hata hizi Posho wabunge wetu wakiziacha hivi ni kweli zitapelekwa kwa mafungu ya maendeleo ya Halmashauri na hata zikipelekwa huko zitafanyakazi zilizokusudiwa?By the way I see it and mkwara long held by the Speaker of Parliament for those who do not receive allowance to their very difficult legislative our stop receiving the allowance, as I found majority in parliament have been offered to the eyes such allowance, but even while another wondered the same thing, that these Allowances members of our They left these parts is actually channeled to the development of Councils and even zikipelekwa in zitafanyakazi intended? ...Edit
Hivi ukweli upo wapi?hii posho ya wabunge,ni kweli wataacha kupokea? ni kweli itatumika kwa manufaa ya umma?nikweli mjadala huu wa posho ya wabunge utafikia ukingoni kwa muafaka na manufaa ya umma?kazi kwetu wananchi.This fact is where this allowance for MPs, it really will stop receiving? is actually utilized by the public interest? indeed the discussion of parliamentary allowances will reach the brink of frames and the public interest? work for us citizens.Edit
kwa kweli hili ni tatizo kubwa sana. Hizi posho sio kwamba jamaa hawazitaki kweli ila wanajaribu kufikisha ujumbe kwamba wanapo panga kiasi cha hizi posho, basi waangalie na kiasi ambacho huenda kwenye mifuko ya maendeleo. Sio mfuko wa maendeleo una bilioni moja lakini posho bilioni 900in fact this is a very serious problem. This allowance is not that families are not willing to really try to convey a message but that they planned amount of these allowances, it should look and how much goes into the pockets of development. Not a development fund has one billion but 900 billion allowanceEdit
BAJETI YA TANZANIA NA MATUMAINI YA WANANCHITANZANIA BUDGET AND HOPE FOR THE PEOPLEEdit