Envaya

/SAJAKU/topic/25292/add_message: Kiswahili: dM0005F023CA663000025981:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

Kwa jinsi ninavyoona na mikwara mingi inayowekwa na Spika wa Bunge kwa wale wote wanaokataa kupokea Posho zao ni vigumu sana wabunge wetu kuacha kupokea Posho,kwani nimegundua Wabunge wengi wametolea macho sana hizo Posho,Lakini hata muda mwingine najiuliza kitu kimoja hivi hata hizi Posho wabunge wetu wakiziacha hivi ni kweli zitapelekwa kwa mafungu ya maendeleo ya Halmashauri na hata zikipelekwa huko zitafanyakazi zilizokusudiwa?

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe