Base (Swahili) | English |
---|---|
Hivi ukweli upo wapi?hii posho ya wabunge,ni kweli wataacha kupokea? ni kweli itatumika kwa manufaa ya umma?nikweli mjadala huu wa posho ya wabunge utafikia ukingoni kwa muafaka na manufaa ya umma?kazi kwetu wananchi. |
This fact is where this allowance for MPs, it really will stop receiving? is actually utilized by the public interest? indeed the discussion of parliamentary allowances will reach the brink of frames and the public interest? work for us citizens. |
Translation History
|