NI KWELI KAZANANI KATIKA HILI NA MSISAHAU KUELIMISHA JAMII INAYO WAZUNGUUKA ILI IWE NA UELEWA JUU YA HAYO. | (Bila tafsiri) | Hariri |
@NOURAT RAMADHANI (DAR ES SALAAM): – Nourat tunashukuru kwa ushauri wako mzuri na ambao umekuja kwa muda wake. Tunaona jinsi uharibifu wa mazingira unavyofanya nchi hata ikose mvua kwa misimu yake ya kawaida. Lakini kama hiyo haitoshi sehemu ambazo siku za nyuma zilikuwa ardhi nzuri kwa kilimo sasa ni jangwa la kutisha .Nourat, mimi wewe na yule kwa pamoja tukilpigania hili tunaweza | (Bila tafsiri) | Hariri |
NI MUHIMU KUELEWA KUWA KUTAMBULIKA KWA FAIDA ZA MITI TUNAYOPANDA, KUELEZA KWA UWAZI FAIDA ZOTE ZA MITI NA MIMEA TUNAYOPANDA INAWEZA KUSAIDIA KUCHOCHEA UHIFADHI WA HIARI WA MAZINGIRA KWA KICHOCHEA CHA FAIDA ZA MIT INAYOPANDWA,MFANO WA MIRADI INAYOENDESHWA NA WATU WA TANZANIA SPORTS AND CULTURE CONSULTANT ORGANIZATION, NA UTAFITI WA KUTAMBUA MATUMIZI YA AINA MBALIMBALI YA MIMEA KWA TIBA KWA KUSHIRIKIANA NA WATAALAMU WA TIBA ZA JADI, WAZEE ILI KUTEKELEZA MRADI WAO WA... | (Bila tafsiri) | Hariri |
@JASMINE MOHAMED (BARIADI SHINYANGA): – Jasmine, – Nashukuru na nakupongeza kwa jinsi unavyojali mazingira. hii inaonyesha ni kwa kiasi gani watu tulivyo na mwa mwamko kuyalinda mazingira yetu popote tulipo. Lakini ni kwa kiasi gani unaguswa na miti yetu yenye kutoa dawa za asili ni swala la kukupongeza pia. Pamja na TASSCO wote kwa pamoja tupiganie hili na hasa sisi wadau wa mazingira na miti | (Bila tafsiri) | Hariri |
@LEOKADIA KADUMA (NOMBE REGIONAL TANZANIA): – Leocadia, nshukuru kwa ujumbe mzuri kwa jamii. Uharibifu wa mazingira mchawi wake ni binadamu mwenyewe. Shughuri za kila siku za mwanadamu kwa sehemu kubwa zimekuwa mwiba kwa mazingira. Inahitajika elimu ya kutosha toka kwangu, kwako na kwake ili kuokoa si tu Tanzania ila dunia kwa ujumla wake. – Nakupongeza kwa kuliona hilo, wewe na shirika lako kuweni mbele katika kutoa elimu ya mazingira na... | (Bila tafsiri) | Hariri |
I have been joining several occasions and discussion about the importance of tree planting both Tanzania, home village of Kamachumu, Muleba district in Kagera region, and in Africa and not to forget the the global as well. KECA , as a symbolic gesture we are having a tree planting PROGRAM here in Muleba district. Fortunately, the movement towards a deeper commitment to environmental protection through planting new trees and taking care of the existing ones, is rapidly increasing all over the... | Nimekuwa kujiunga na mara kadhaa na majadiliano juu ya umuhimu wa kupanda miti zote mbili, Tanzania, nyumbani kijiji cha Kamachumu, wilaya ya Muleba mkoani Kagera, na katika bara la Afrika na si kwa kusahau ya kimataifa pia. KECA, kama ishara ya mfano sisi ni kuwa na kupanda miti PROGRAM hapa katika wilaya ya Muleba. Bahati nzuri, harakati kuelekea kujitolea zaidi na kulinda mazingira kwa kupanda miti mipya na kutunza ndio zilizopo, ni kuongeza kasi yote juu ya Mkoa. Katika ngazi ya taifa, miti... | Hariri |
@John C. Kakolaki (Kamachumu village, Muleba - Kagera): NA LEOKADIA KADUMA (NJOMBE JITEGEMEE WOMEN GROUP) NI VEMA KUFAHAMU KUWA MABADILIKO YA NCHI SEHEMU KUBWA YANALETWA NA UHALIBIFU WA MAZINGIRA MFANO UKAME JOTO NA MARADHI NK. NA HII NDIYO HALI ILIYOPO SASA KATIKA TANZANIA. INATUPSA TUCHUKUE TAHADHALI MAPEMA ILI KUKABILIANA NA HALI HII YA MABAHILIKO YA NCHI. KWA HIYO NACHUKUWA NAFASI HII KULIPONGEZA SHIRIKA HILI KWA KAZI KUBWA WANAYOFANYA YA UPANDAJI WA MITI KWANI NI... | (Bila tafsiri) | Hariri |
By planting trees we shade and protect the world | Kwa kupanda miti sisi kivuli na kulinda ulimwengu | Hariri |
AM | (Bila tafsiri) | Hariri |
{date} at {time} | {date} {time} | Hariri |
(edited {date}) | (ilihaririwa {date}) | Hariri |
March | Machi | Hariri |
May | Mei | Hariri |
June | Juni | Hariri |
July | Julai | Hariri |