Envaya

/m-e-d-1-1/news: English

BaseEnglish
Kero ya Maji Kikuyu Hadi lini? – Wakazi wa kata ya Kikuyu Kusini Manispaa ya Dodoma hawajui hatima yao dhidi ya kero ya maji wanayo endelea kuipata kwa miongo kadhaa hadi sasa. wakazi hao wamekuwa wakitumia maji ya visma vifupi yasiyo safi wala salama kwa kipindi kirefu imeelezwa. (image) – Kama picha inavyoonesha hapo...Harassment of Water Kikuyu Until when? – Residents of the county of South Kikuyu Dodoma Municipality do not know their fate against the nuisance of water that they continue to find it for decades until now. These residents have been using water wells and non-clean safely for long periods indicated. (image) – As the picture shows above, these residents have claimed to have lived in the county of Kikuyu for over twenty years and...Edit
MikakatiStrategiesEdit
Kwani Viongozi wetu Hawaoni? – Wananchi wa Kata ya Hazina iliko shule ya Msingi wanajiuliza swali mkwamba "Kwani viongozi wetu hawaoni?" wakazi hawa wamefikia hatua hiyo mara baada ya kutosikia hatua zozote zilizochukuliwa na ama viongozi wa Mkoa, Wilaya, au Tarafa kuhusiana na vyumba viwili vya madarasa vilivyojengwa katika shule hiyo kuharibika vibaya kutokana na kujengwa chini ya kiwango. (image) ...Did they not see our leaders? – Citizens of the County Treasury iliko Primary School are asking the question thorny shrub, "Have our leaders do not see!" Residents that they have reached a stage that immediately after hearing any actions taken by either officials of the province, district, or division related to two rooms of classrooms constructed in schools So badly damaged due to be built under the standard. ...Edit
Je Wajua?Did you know?Edit
SHULE TUNAZO; VITENDEAKAZI JE? – Wakati serikali yetu ikijinadi kuwa imepata mafanikio makubwa katika kuwezesha watoto wengi kujiunga na elimu ya msingi hapa nchini; bado kuna umuhimu mkubwa wa serikali kutafakari kwa kina kile watoto hawa wanachokipata katika shuleni hizo. – Ni ukweli usiopingika kwamba shule zetu za msingi zimepata wanafunzi wengi ambao kwa hakika wamejiunga na shule za msingi kwa ajili ya kupata elimu...We SCHOOLS; VITENDEAKAZI WHAT? – While our government has ikijinadi be successful in enabling children to join primary education in the country, there is still a great need for government to reflect the depth of what these children are found out in these schools. – It is a fact that our primary schools have received many students who have actually enrolled in primary school education for getting this important to their...Edit
Picha za MatukioPhotos of EventsEdit
Hakuna Maisha Bora Bali Bora Maisha. – Familia moja katika Kata ya Kikuyu Kusini Manispaa ya Dodoma itaubaliana na kauli yangu kwa Bora Maisha kwa Kila Mtanzania na ukweli si Maisha Bora kwa kila Mtanzania kama ambavyo kauli hiyo imekuwa ikiimbwa kila kukicha na viongozi wetu wa Serikali na hata wa hama Tawala CCM. – Kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu sasa moja kati ya nyumba zilizoathiriwa na mvua zilizonyesha mjini Dodoma tangu mwishoni mwa mwezi Januari...Nothing Better Life Better Life Bali. – One family in South County Kikuyu Dodoma Municipality itaubaliana and my word for Better Life for Every Tanzanian and Quality of Life in reality is not like that word every Tanzanian has been ikiimbwa indeed hour by hour and our leaders of government and the ruling CCM's move. – For over a month and a half now one of the houses affected by the rains in Dodoma zilizonyesha since late January despite not ijafanyiwa...Edit
Wanaharakati Wajadili Mchakato wa Katiba Mpya. – Mchakato wa kuandika katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unazidi kushika kasi zaidi nchini baada ya wanaharakati wa mikoa saba kukutana Dodoma kujadili na kujifunza juu ya katiba ya sasa na mapungufu yake na jinsi ya kuelimisha wananchi umuhimu wa kuwa na katiba mpya. – Warsha hiyo ya sikun tatu inafanyika katika Hoteli ya Dodoma inahudhuriwa na wawakilishi wa Mitandao ya Asasi za Kiraia kutoka katika...Activists discuss the process of constitutional line. – The process of writing a new constitution of the United Republic of Tanzania is increasingly gaining momentum over the country after seven activists meet Dodoma regions to discuss and learn about the current Constitution and its limitations and how to educate the public need for a new constitution. – The workshop takes place in a three-kun Dodoma Hotel attended by representatives of Civil Society Networks in...Edit
MARAFIKI WAJADILI NAMNA YA KUBORESHA MMES II- MOROGORO – Wawakilishi wa harakati za Marafiki wa Elimu kutoka kanda tatu za Mashariki, Kusini na Nyanda za juu Kusini; walikutana mjini Morogoro kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu mustakabali wa Elimu na namna nzuri ya kuboresha ushiriki wa wananchi katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Elimu. – Aidha washiriki hao...FRIENDS DISCUSS HOW TO IMPROVE SEDP II-MOROGORO – Representatives of the movement of the Friends of Education from the three regions of East, South Highlands South, met in Morogoro to discuss various issues concerning the future of education and how best to improve citizen participation in the implementation of development plans for education. – In addition participants were commended...Edit
Kutoka MitaaniFrom the StreetsEdit
WafadhiliDonorsEdit
KIKUYU YAUNDA KAMATI YA KURATIBU SHUGHULI ZA CLUB ZA MARAFIKI – Marafiki wa Elimu katika shule ya Sekondatri Kikuyu wameamua kuunda kamati ya shule kwa ajili ya kuratibu shughuli za Marafiki ili kuongeza ufanisi na uendelevu wa harakati za Marafiki katika shule hiyo. ...Kikuyu YAUNDA Coordinating Committee ACTIVITIES CLUB OF FRIENDS – Friends of Education in School Sekondatri Kikuyu have decided to form a school committee for coordinating the activities of the Friends to increase efficiency and sustainability of the movement of Friends in school. ...Edit
BIASHARA UTOTONI NA ELIMU – Mtoto Samson Hezron (11) mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya Msingi Ngh'ongh'onha katika Manispaa ya Dodoma ni miongoni mwa wanafunzi wa shule za msingi wanao juihusisha na biashara wakiwa na lengo la kusaidia kuinua kipato cha familia zao. – (image) Samson akionge na MED alisema kuwa anafanya biashara ya miwa ili kuongeza kipato kwenye familia na kuweza kupata fedha za kukidhi mahitaji yake muhimu...Early BUSINESS AND EDUCATION – Child Hezron Samson (11) fourth grade student in primary school Ngh'ongh'onha in Dodoma Municipality is among the students of primary schools who juihusisha business with the goal of helping raise the income of their families. – (image) WITH Monge and Samson was said to be doing the business of sugar to increase the family income and to obtain money to meet critical needs including school uniforms...Edit
Wazazi waaswa na Tuisheni za wanavyuo. – Wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule ya Sekondari ya Kikuyu Manispaa ya Dodoma wameaswa kujihadhari na Tuisheni zinazoendeshwa na wanavyo kwani zina madhara makubwa kuliko faida. – Rai hiyo ilitolewa kwenye mkutano wa wazazi wa wanafunzi wa kidato cha pili na cha nne wanaosoma katoka shule hiyo kufuatia malalamiko kuwa wengi wa wanafunzi wa shule hiyo wanajihusisha na masuala ya ngono na wanachuo wa St....Parents should especially with Tuisheni of the colleges. – Parents of students who are studying in Secondary School in Dodoma Municipality Kikuyu are trapped Tuisheni operated aware of what they have as serious consequences than benefits. – Rai was released at the meeting that the parents of students form the second and fourth who read it went out of school following complaints that many school students are involved with issues of sex and...Edit
Matukio YajayoUpcoming EventsEdit