Fungua

/M-E-D-1-1/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
Kero ya Maji Kikuyu Hadi lini? – Wakazi wa kata ya Kikuyu Kusini Manispaa ya Dodoma hawajui hatima yao dhidi ya kero ya maji wanayo endelea kuipata kwa miongo kadhaa hadi sasa. wakazi hao wamekuwa wakitumia maji ya visma vifupi yasiyo safi wala salama kwa kipindi kirefu imeelezwa. (image) – Kama picha inavyoonesha hapo...(Bila tafsiri)Hariri
Mikakati(Bila tafsiri)Hariri
Kwani Viongozi wetu Hawaoni? – Wananchi wa Kata ya Hazina iliko shule ya Msingi wanajiuliza swali mkwamba "Kwani viongozi wetu hawaoni?" wakazi hawa wamefikia hatua hiyo mara baada ya kutosikia hatua zozote zilizochukuliwa na ama viongozi wa Mkoa, Wilaya, au Tarafa kuhusiana na vyumba viwili vya madarasa vilivyojengwa katika shule hiyo kuharibika vibaya kutokana na kujengwa chini ya kiwango. (image) ...(Bila tafsiri)Hariri
Je Wajua?(Bila tafsiri)Hariri
SHULE TUNAZO; VITENDEAKAZI JE? – Wakati serikali yetu ikijinadi kuwa imepata mafanikio makubwa katika kuwezesha watoto wengi kujiunga na elimu ya msingi hapa nchini; bado kuna umuhimu mkubwa wa serikali kutafakari kwa kina kile watoto hawa wanachokipata katika shuleni hizo. – Ni ukweli usiopingika kwamba shule zetu za msingi zimepata wanafunzi wengi ambao kwa hakika wamejiunga na shule za msingi kwa ajili ya kupata elimu...(Bila tafsiri)Hariri
Picha za Matukio(Bila tafsiri)Hariri
Hakuna Maisha Bora Bali Bora Maisha. – Familia moja katika Kata ya Kikuyu Kusini Manispaa ya Dodoma itaubaliana na kauli yangu kwa Bora Maisha kwa Kila Mtanzania na ukweli si Maisha Bora kwa kila Mtanzania kama ambavyo kauli hiyo imekuwa ikiimbwa kila kukicha na viongozi wetu wa Serikali na hata wa hama Tawala CCM. – Kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu sasa moja kati ya nyumba zilizoathiriwa na mvua zilizonyesha mjini Dodoma tangu mwishoni mwa mwezi Januari...(Bila tafsiri)Hariri
Wanaharakati Wajadili Mchakato wa Katiba Mpya. – Mchakato wa kuandika katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unazidi kushika kasi zaidi nchini baada ya wanaharakati wa mikoa saba kukutana Dodoma kujadili na kujifunza juu ya katiba ya sasa na mapungufu yake na jinsi ya kuelimisha wananchi umuhimu wa kuwa na katiba mpya. – Warsha hiyo ya sikun tatu inafanyika katika Hoteli ya Dodoma inahudhuriwa na wawakilishi wa Mitandao ya Asasi za Kiraia kutoka katika...(Bila tafsiri)Hariri
MARAFIKI WAJADILI NAMNA YA KUBORESHA MMES II- MOROGORO – Wawakilishi wa harakati za Marafiki wa Elimu kutoka kanda tatu za Mashariki, Kusini na Nyanda za juu Kusini; walikutana mjini Morogoro kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu mustakabali wa Elimu na namna nzuri ya kuboresha ushiriki wa wananchi katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Elimu. – Aidha washiriki hao...(Bila tafsiri)Hariri
Kutoka MitaaniKutoka MitaaniHariri
Wafadhili(Bila tafsiri)Hariri
KIKUYU YAUNDA KAMATI YA KURATIBU SHUGHULI ZA CLUB ZA MARAFIKI – Marafiki wa Elimu katika shule ya Sekondatri Kikuyu wameamua kuunda kamati ya shule kwa ajili ya kuratibu shughuli za Marafiki ili kuongeza ufanisi na uendelevu wa harakati za Marafiki katika shule hiyo. ...(Bila tafsiri)Hariri
BIASHARA UTOTONI NA ELIMU – Mtoto Samson Hezron (11) mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya Msingi Ngh'ongh'onha katika Manispaa ya Dodoma ni miongoni mwa wanafunzi wa shule za msingi wanao juihusisha na biashara wakiwa na lengo la kusaidia kuinua kipato cha familia zao. – (image) Samson akionge na MED alisema kuwa anafanya biashara ya miwa ili kuongeza kipato kwenye familia na kuweza kupata fedha za kukidhi mahitaji yake muhimu...(Bila tafsiri)Hariri
Wazazi waaswa na Tuisheni za wanavyuo. – Wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule ya Sekondari ya Kikuyu Manispaa ya Dodoma wameaswa kujihadhari na Tuisheni zinazoendeshwa na wanavyo kwani zina madhara makubwa kuliko faida. – Rai hiyo ilitolewa kwenye mkutano wa wazazi wa wanafunzi wa kidato cha pili na cha nne wanaosoma katoka shule hiyo kufuatia malalamiko kuwa wengi wa wanafunzi wa shule hiyo wanajihusisha na masuala ya ngono na wanachuo wa St....(Bila tafsiri)Hariri
Matukio Yajayo(Bila tafsiri)Hariri