UVIKITWE GROUP, kupitia ufadhili wa The Foundation For Civil Society, imefanikiwa kutekeleza mradi wa uelimishajirika kwa vijana kuhusu athari za matumizi ya dawa za kulevya na uhusiano wake na maambukizi ya VVU/UKIMWI. Mradi huu umetekalezwa katika wilaya ya Bagamoyo ndani ya kata sita ambazo ni Vigwaza,Chalinze,Ubena,Msata,Miono na Kiwangwa. Mradi huu umeweza kuwafikia vijana tisini (90) wanaotumia na wasiotumia dawa za kulevya. – Mafanikio ya... | (Not translated) | Hindura |