Log in

/Nuruhalisi/news: English

BaseEnglish
NURU HALISI yapata tuzo ya kwanza ya mazingira Mkoa wa Dar es salaam. Hapa ni wanachama na viongozi wa Nuru Halisi pamoja wa wageni waalikwa (image) wakifurahia tuzo hiyo (image)Light PURE gets the first prize of the environment in Dar es Salaam. Here are the members and leaders of light music with invited guests (image) they enjoy the award (image)Edit
(image) Shirika la NURU HALISI jana tarehe 28 July ilikabidhiwa rasmi tuzo ya mazingira iliyotolewa tarehe 5 May 2010 na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Tuzo hiyo ilikabidhiwa na mkuu wa kitengo cha Mazingira kwa niaba ya Mkurugenzi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala. Hafla ya kupokea tuzo hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Arawa Mazizini Ukonga.(image) Light's last PURE Organization on 28 July was presented the award for environmental official issued on 5 May 2010 and General Dar es Salaam. The award was presented by the head of a unit of Environment on behalf of the Director of Ilala Municipal Director. Receiving the award ceremony was held in the Hall of Arawa Ukonga stall.Edit
WANACHAMA NA VIONGOZI WA NURU HALISI MKOA WA DAR ES SALAAM TAR 28 JULY 2010 (image)(Not translated)Edit
Hizi ni baadhi ya changamoto tunazokumbana nazo. Ni watu wakubwa na wenye uwezo ndio wanaochafua mazingira kwa kutoa taka ndani ya mageti na kuziweka nje. Wanaoathirika ni watoto wa maskini wanaocheza kwenye malundo ya taka hizo na wakazi wa kipato cha chini wanaotumia maji ya visima ambavyo havijachimbwa kitaalamu na taka hizi huingia kwenye visima nyakati za mvua. Tunaomba msaada tuwafikie na kuwaeleza namna ambavyo wanaweza kutoa ushirikiano na kuondoa dhana hiyo. ...These are some of the challenges we zokumbana them. It is large and capable people who pollute the environment by providing waste within the gates and put them out. Wanaoathirika are the poor children who play on the heaps of waste and low-income residents who use water from wells that are not vijachimbwa these professional and want to enter the wells in the rainy season. We ask help reach out and explain how they can cooperate and eradicate it. ...Edit
(image) – Hii ni moja kati seminar zinazotolewa na Nuru Halisi zikiwashirikisha wadau wa mazingira.(image) – This is one of the seminar provided by the Light Real zikiwashirikisha environmental stakeholders.Edit
Wakati NURU HALISI inaendelea na mikakati ya kutoa elimu juu ya Utunzaji wa mazingira, Uongozi na wanachama wa shirika wamesema hawata kaa ofisini na badala yake watakua wakitoka wakati wote na kuifuata jamii ilipo. Hayo yamesemwa na afisa uhusiano wa shirika hilo Philipo Mtoro wakati walipokua wakitoa maelezo ya kazi zao kwa vitendo mbele ya mgeni rasmi wakati wa kupokea tuzo. Vile vile aliwaomba wadau wengine wa mazingira kujitokeza ili kusaidiana na...When light PURE continues to provide educational strategies on the Protection of the environment, leadership and members of the organization have said they would stay in office and instead will be coming from at all times when the community pursued. That has been said by the agency's public relations officer Philip absenteeism when they grew up they give details of their work in practice before the guest of honor at receiving the award. He also asked...Edit
(image)(Not translated)Edit
Viongozi na wanachama wa Nuru halisi leo tumefanya usafi katika mifereji ya kandokando mwa barabara ya Mombasa-moshi bar,mitaro hii imekuwa michafu kwa muda mrefu na tumeona ni vyema kuisafisha na ndio tuanze kuzungumza na wafanyabiashara wa kandokando mwa barabara hii pamoja na wamiliki wa machinjio ya Ukonga-mazizini na kujadili namna ambavyo kila mmoja atawajibika kwa sehemu yakeLeaders and members of the true Light today we have made clean the drainage along the road to Mombasa-smoke bar, drainage has been dirty for so long and we thought it advisable to clean the ones we should start talking to businesses along the road with the owners of the slaughter of trunk-stall and discuss how each one will be responsible for his partEdit
(image) – Wanachama wa Nuru Halisi wakiwa katika vikao vyake vya kila wiki. Wanachama hawa hufanya zoezi la usafi wa mazingira kabla ya kuanza kikao.(image) – Members of Light music with its sessions every week. Members of these practices sanitation before starting the session.Edit
Nuru Halisi Development Group sasa wameanza kupewa mafunza ya kutengeneza Uyoga na tayari wameanza kwa vitendo kwa kushiriki wenyewe kuandaa vitendea kazi. Wanachama watakuwa wakifanya kazi kwa pamoja ili wapate elimu hii ili iweze kuwasaidia mmoja mmoja kujibunia miradi yake nje ya kikundi. Malengo ya kikundi hiki ni kuwawezesha wanachama kuwa na uwezo wa kujitegemea kwa kutumia rasilimali walizonazo bila kutegemea kusaidiwa. Wanachama wamejiwekea akiba wenyewe na...Light Music Development Group have now begun to be trained to make Mushroom and actions have already begun to organize themselves to share tools. Members will be working with this knowledge so that they can help individuals kujibunia projects outside the group. The goals of this group is to empower members to be able to independently use resources without relying on the resources they support. Members savings have saved themselves and now they can start this project....Edit
CommentsI recentlhttps://geeksquad-appointment.us/y signed up with Ovation credit repair services and I am already SO happy that I did! They are working hard and have already made a positive impact on my credit report. They helped remove negative items from my credit report that shouldn't have been there. This directly caused an increase in my credit score.They were easy to talk to,VERY friendly and easy to understand, and in a country full of terrible customer service, Ovation credit repair customer...Edit
MayMayEdit
JulyJulyEdit
AugustAugustEdit
{month} {day}, {year}{month} {day}, {year}Edit