Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/SHIMMAKUTA/news
: Kiswahili
1
2
3
Ifuatayo »
Asili
Kiswahili
MTANDAO WA MASHIRIKA YASIYOKUWA YA KISERIKALI KATIKA WILAYA YA MTWARA wameendesha mafunzo ya siku mbili juu ya kuwajengea uwezokuhusu utetezi wa masuala ya jinsia na ukimwi kwa Azaki wanachama juzi na jana katika manispaa ya Mtwara yaliyofadhiliwa na GIZ (image) Washiriki wa mafunzo ya kujenga uwezo kuhusu utetezi wa masuala ya jinsia na ukimwi kwa Azaki yaliyofadhiliwa na GIZ.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kujengewa uwezo juu ya kuendesha shirika la SHIMMAKUTA wakimsikiliza mweka hazina wa Msoapo Bw. Kwiyunga hayupo pichani, akieleza walikotoka mpaka walipo katika kuendesha shirika lao lisilo la kiserikali.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) Washiriki wa mafunzo wakiwa katika kazi za vikundi
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mweka hazina wa Msoapo Bw. Mstapha Kwiyunga akiongea na viongozi na wanachama wa SHIMMAKUTA hawapo pichani, wakiwa katika ziara ya mafunzo katika Ofisi za Msoapo mjini Mtwara.
(Bila tafsiri)
Hariri
Na Godwin Msalichuma, – Newala, Mtwara – Septemba 29, 2011 – JAMII katika Wilaya ya Newala wametakiwa kuanzisha madarasa ya elimu ya watu wazima ili kuondokana na tatizo la ujinga na umaskini uliokothiri haswa kipindi hiki Tanzania inavyoadhimisha miaka hamsini ya uhuru. – Hayo yalisemwa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Bw. Chitwanga Ndembo katika maadhimisho ya juma la elimu ya watu wazima yaliyofanyika kiwilaya katika...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Washiriki wa mafunzo ya kujengea uwezo asasi ya SHIMMAKUTA
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Baadhi ya washiriki wakiwa katika kazi za vikundi
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) Mwezeshaji wa mafunzo ya kujenga uwezo kuhusu utetezi wa masuala ya jinsia na ukimwi kwa Azaki Bw.Baltazari Komba akiwa katika kipindi ukumbini hapo.
(Bila tafsiri)
Hariri
Comments
Maoni
Hariri
October
Oktoba
Hariri
September
Septemba
Hariri
{month} {day}, {year}
{day} {month}, {year}
Hariri
Discussions
Majadiliano
Hariri
Kinyarwanda
(Bila tafsiri)
Hariri
Swahili
ALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE { UMAKI } ni shirika lisilo la kiserikali na watu wake wa kujitolea ni 1. KENETH MKATA 2. MOHAMED KIZERU 3. MWANAIDI SALIMU
Hariri
1
2
3
Ifuatayo »