Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/swaa-morogoro/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – Hawa ni vijana wa tarafa Ngerengere waliopata elimu ya ukimwi na matumizi bora ya utumiaji wa kondomu kwa ufadhili wa The Foundation For Civil Society 2005.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Walezi wa watoto yatima na wale wahishiyo kwenye mazingira magumu (kijiji cha Matombo) waliopata mafunzo ya elimu ya saikolijia kwa ufadhili wa The Foundation For Civil Society 2008
(Bila tafsiri)
Hariri
(document)
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mwenyekiti wa SWAA akitoa mafunzo ya mada kuhusu elimu ya ukimwi na afya kwa mtoto wa kike katika shule ya sekondari Mnziha 2011.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – picha ya pamoja ya viongizi, wajumbe wanachama na mwakilishi kutoka (The Faundation for Civil Society) baada ya mkutano.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – mwenyekitri wa shirika la SWAA ( Mrs. Hellen Mbezi) akijadiliana na viongozi wa kabila la masai kijiji cha Dakawa kuhusu elimu ya malezi na makuzi kwa watoto wa kike wakati wa kuhamasisha uwekaji wa maji salama kijijini kwao kwa ufadhili harimashauli ya wilaya ya Mvomero - Tanzania 2009.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Cheti usajili shilika la SWAA
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mr. kervin kutoka (The Faundation For Civil Society) akiwapa maelekezo wawakilishi wa asasi ya (SWAA-MO).
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – watoto waliopata mavazi katika shule ya msingi kisaki kituoni wilaya ya morogoro vijijini kwa ufadhili wa TAKIAIDS 2008.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mr. kervin kutoka (The Faundation for Civil Society) akiandika maelezo kutoka kwa viongozi wa (SWAA- MO).
(Bila tafsiri)
Hariri