Envaya

/pwani-dpa/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image) – Sehemu ya Washiriki wa warsha ya kuandaa Mpango Mkakati wa Pwani-DPA WAKISIKILIZA KWA MAKINI kuhusu mchakato wa uandaaji wa Mpango Mkakati(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Sehemu ya Washiriki wakifuatilia kwa Makini Mchakato wa uandaji wa Mpango Mkakati kutoka kwa Mwezeshaji(Haonekani katika picha)(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Bi. Halima Kihemba ( kushoto) na Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa wakimkabidhi Baiskeli Mfanyakazi wa Kujitolea Wa Pwani- DPA, bW. Emanuel Kombe (katika)kwa ajili ya Utekelezaji wa Mradi wa Kupambana na Malaria katika Wilaya ya Kibaha.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Sehemu ya wananchi wa Kata ya Misugusugu katika halmashauri ya Mji wa Kibaha walioshiriki katika uzinduzi wa Zahanati wakati wa Sherehe za Mbio za Mwenge, Ambapo Pwani-DPA kwa kuhamasisha jamii kuchangia kushiriki kufanya usafi wa mazingira katika ngazi ya kaya ili kupunguza mazalia ya Mbu(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mwezeshaji Kiongozi wa Warsha Bw. Hamisi Kellenge Masasa, akishirikisha washiriki wa Warsha kuhusu umuhimu wa Mipango shiriki jamii katika asasi za Kiraia na Uendelevu wa Miradi wakati wa mchakato wa Kuandaa Mpango Mkakati wa Miaka mitano (5) ya Pwani-DPA,(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mkurugenzi Mtendaji wa Pwani-DPA bW. mATHEW cHUNGU, akitoa Tshirt kwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Bi. Halima Kihemba kama sehemu ya Kufikisha ujumbe kwa Jamii kuhusu umuhimu wa Kinga na Tiba sahihi ya Ugonjwa wa Malaria kwenye kilele cha mbio za Mwenge Julai, 2010 Wilayani Kibaha(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mwenyekiti wa Pwani-DPA, Bw. Omari Abdallah akikaribisha baadhi ya wageni kwenye Banda la Pwani-DPA ili kutambua mchango wa Asasi katika mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Malaria katika Wilaya ya Kibaha.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mkurugenzi Mtendaji wa Pwani-DPA, AKIONGOZA ZOEZI LA uTAMBULISHO kwa Mmoja ya Washiriki wa Warsha(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Pichani, Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2010, akitoa hotuba katika ufunguzi wa Zahati katika Kata ya Misugusugu katika halmashauri ya Mji wa Kibaha- Pwani-DPA ilitumia fursa hii kutoa elim u kwa jamii kuhusu umuhimu wa Matumizi ya Vyandarua vyenye viatilifu ikiwa ni moja ya Mbinu za Kujikinga na Ugonjwa wa Malaria kwa Wanawake Wajawazito na Watoto chini ya Miaka mitano, Kupitia maradi wa COMMIT unaotekelezwa kwa ushirikiano wa CVM/APA na...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Bango la utambulisho wa Shughuli ya Mradi wa Kuandaa Mpango Mkakati wa Miaka mitano wa Pwani-DPA,iliyoandaliwa kwa Ufadhili wa The Foundation for Civil Society(Bila tafsiri)Hariri
CommentsMaoniHariri
MarchMachiHariri
{month} {day}, {year}{day} {month}, {year}Hariri
Kinyarwanda(Bila tafsiri)Hariri
SwahiliALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE { UMAKI } ni shirika lisilo la kiserikali na watu wake wa kujitolea ni 1. KENETH MKATA 2. MOHAMED KIZERU 3. MWANAIDI SALIMUHariri