Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/tascco/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – Mwl Faraji wa shule ya Msingi Mbugani akiwa katka vazi la kifalme lilokua likivaliwa na Watemi wa kisukuma hapo kale
(Bila tafsiri)
Hariri
TASCCO kwa kushirikiana na Chuo Cha Biashara CBE kilichopo jijini Mwanza kuandaa Tamasha la Michezo itakayo jumuisha michezo ifuatayo mpira wa miguu,mpira wa mikono,mpira wa kikapu,netball.Shindano hilo litakuwa na upinzani wa aina yake,kila timu inatarajia ushindi.Pia TASCCO itatoa waamuzi wa michezo yote wenye sifa zinazostahili katika mchezo husika.Shindano hilo litafanyika kuanzia tarehe 02.05.2011 na kuhitimishwa baada ya siku 8 kama ratiba ilivyopangwa.
(Bila tafsiri)
Hariri
Tascco kuandaa safari ya kwenda Bujora sehemu ya Kihistoria iliyopo Jijini Mwanza siku ya Alhamis ya Tarehe 31.03.2011 Hii itahusisha Wanafunzi wa darasa la NneShule ya Msingi Mbugani pamoja na Walimu wao.Hii ni ziara ya kielimu kwani Tascco inahusiana na mambo ya Kiutamaduni.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Wanafunzi wa shule ya Mssingi Mbugani iliyopo jijini Mwanza wakiwa ziara Bujora Museum
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Hiyo ni baadhi ya maandishi ya namba zilivyokua zikiandikwa na kutamkwa yaani 1,2,3 hadi 10 kwa lugha ya kisukuma kila jinsia ilikua na matamshi yake
(Bila tafsiri)
Hariri
TASCCO – The meeting point for sports and culture consultant empowerment and education based on African traditional. Down of impediments and obstacles it creates linkages with sports and culture professional, people and sources of information – THE PURPOSE – To create an international and national meeting...
TASCCO – Uhakika mkutano kwa ajili ya michezo na utamaduni wa uwezeshaji mshauri na elimu ya msingi ya Afrika ya jadi. Chini ya kero na vikwazo inajenga uhusiano na michezo na mtaalamu wa utamaduni, watu na vyanzo vya habari – KUSUDI – Kujenga kimataifa na kitaifa mkutano uhakika kwa tamaduni...
Hariri
(image) – Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mbugani wakiwa wamewasili katika ardhi ya Wasukuma wlikuwa pamoja na walimu wao faraji Rashid,Fransisca mbao na Asha Suleiman
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Wanafunzi wa shule ya Msingi mbugani wakiwa wanatahamaki ngao ya watemi wa kisukuma kwani iltumika katika mapambano
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – mashindano yameendelea na sasa yamefika hatua ya robo fainali katika michezo. picha ni mechi kati ya CA Sept,2010 vs CPS sept,2010
(Bila tafsiri)
Hariri
KONA YA WASANII hii ni safu itakayo eleza historia mbalimbali za wasanii wa hapa Tanzania. Punde Tascco itakuletea historia ya mwanamuziki JITAMAN a.k.a ZAGAMBA MAMBA mwenye makazi yake jijini Mwanza.
(Bila tafsiri)
Hariri