Base (Swahili) | English |
---|---|
SHULE YAFAULISHA 100%; YAJIKITA KUPELEKA WATOTO SHULE ZA VIPAJI! Na. Makundi DJ Shule ya Msingi Chidachi iliyoko katika Kata ya Mkonze Manispaa ya Dodoma; imefanikiwa kufaulisha wanafunzi wote waliohitimu darasa la saba 2011. Shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 2004 ilifanikiwa na imeendelea kuwa na mafanikio makubwa kitaaluma tangu mwaka 2006 ambapo wanafunzi wake wamekuwa wakifaulu kwa kati ya asilimia 86% hadi 100%. Kwa mujibu wa taarifa ziliziopatikana katika shule hiyo; uongozi wa shule sasa unajikita kuongeza uwezo wa watoto kitaaluma ili wafaulu kwa kiwango cha jiuu na kuchaguliwa kwenda kwenye shule a watoto wenye vipaji maalu Licha ya mafanikio ya Chidachi inakabiliwa na changamoto kubwa ya uhaba wa vitabu, madawati, vyumba vya madarasa na vifaa vya micheo pamoja na viwanja vya michezo kwa wanafunzi hao. Uongozi wa shule hiyo hivi sasa pamoja na mikakati hiyo unatafuta wafadhili na wadau mbalimbali kwa lengo la kuchangia maendeleo ya shule ya shule hiyo katika taaluma na michezo. Shule ya Chidachi ni miongoni mwa shule mpya zilizojengwa katika program ya awali ya Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM). ___________________________________________________________________________ |
SCHOOL YAFAULISHA 100%; YAJIKITA SCHOOLS send your children brilliant! And. Groups DJ Primary School located in the County Chidachi Mkonze Dodoma Municipality, has succeeded in achieving all students who completed grade seven in 2011. School founded in 2004 and has continued to be managed with great success professionally since 2006 where his students have been passing by between 86% percent to 100%. According to ziliziopatikana at the school, the school management currently focuses increase the ability of children to academic success rate jiuu and elected to the school a talented children Malu Despite the success of Chidachi faces a major challenge of the shortage of textbooks, desks, classrooms and equipment sunrise and playground for the students. Leadership at the school right now with the strategies you are looking for sponsors and stakeholders with the aim of contributing to the development of schools of the school in academic and sports. Chidachi School is among the new schools built in the original program of the Education Development Plan (PEDP). ___________________________________________________________________________ |
Translation History
|