Log in

/Tawa/news: English

BaseEnglish
(image)(Not translated)Edit
FAMILIA NNE(4) ZAKOSA MAHALI PAKUISHI. – kufuatia mvua kubwa iliyonyesha tarehe 11 .04 .2012 jijini Dar es salaam imesababisha maafa makubwa katika maeneo mbalimbali ya jiji ikiwemo wakazi wa Mission Msikitini Mbagala wilaya ya Temeke kukosa makazi baada ya nyumba zao kubomoka kutokana na mvua hizo.Tawa imethibitisha hali hii baada ya kutembelea eneo hili na kujionea tafalani kubwa zilizosababishwa na maji.Wakazi hawa wanailalamikia serikali kwa...(Not translated)Edit
Picha hapo chini zinaonyesha matukio mbalimbali yaliyotokea siku ya wanawake duniani,huu ni mkutano uliojumuisha wanachama wa asasi yetu ili kujadili maedeleo ya kazi za asasi kwa ujumla.Vilevile tulikuwa na taarifa mbalimbali za ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto wa kike.Pictures below show the various events that happened on the women around, this is the meeting comprises members of our organization to discuss an important development work of the organization to ujumla.Vilevile we had information of violence against women and girls.Edit
(image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit