Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/m-e-d-1-1/news
: Kiswahili
« Iliyotangulia
1
2
Asili
Kiswahili
MED YATOA SAADA WA VITABU. – Shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma MED limetoa msaada wa vitabu vya kiada na kiongozi cha mwalimu vyenye thamani ya zaidi ya Sh. 397,363,300 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa lengo la kuboresha Elimu katika Wilaya hiyo. Mdsaada huo wa vitabu vya masomo ya kiingereza, Hisabati na Jiografia utawanufaisha walimu na wanafunzi wa shule...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Afisa mipango wa MED Luhaga Makunja,kulia akimsikiliza mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Kambarage iliyopo katika Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma mwalimu Emmanuel Ndepeka wakati wa ufuatiliaji wa utekelezaji wa mradi wa HAKI ZANGU SAUTI YANGU katika shule hiyo.
(Bila tafsiri)
Hariri
« Iliyotangulia
1
2