Base (Swahili) | English |
---|---|
VIONGOZI NDIO WALIOTAKA VIJANA WAAPOTOKE KIMAADILI. FIKIRIA KILA KIONGOZI KWA NINI ANJIHALALISHIA KUNUNUA ARDHI NA BAADAE AMA KUIUZA KWA WAWEKEZAJI AU/NA KUJENGWA HOTELI ZA KITALII.....NA UFUSKA UNAOFANYIKA HUMO MH! USO HUWEZI KUFUNUA KAMA UTAONESHWA. KWA JAMII NAO KUWAPENDA WATOTO NA VIJANA WAO KIASI CHA KUWANUNULIA SIMU ZENYE MTANDAO HUKU WAKITAZAMA PICHA CHAFU WAELEWE WANAWAPOTOSHA KIMAADILI. HEE WAZAZI HATA WATOTO WAKIKATAZWA KUTOCHUKUA SIMU SHULE MNAGOMBA....MAPENZI GANI HAYO? HALI HII ITAENDELEA HADI PALE VIONGOZI KUANZIA NGAZI YA SHEHIA (KIJIJI) HADI TAIFA NA WAZAZI NDANI YA JAMII WATAPOJISAFISHA.
|
YES YOUTH LEADERS WALIOTAKA WAAPOTOKE ETHICAL. THINK OF WHAT EVERY LEADER AND LATER ANJIHALALISHIA AMA BUY LAND FOR INVESTORS OR sell / and built hotels TOURISM AND UFUSKA UNAOFANYIKA country ..... MH! YOU CAN NOT FACE unfolds as UTAONESHWA. SOCIETY FOR CHILDREN AND ADOLESCENTS to love the amount of KUWANUNULIA THEIR PHONE NETWORK least with regard to understand WANAWAPOTOSHA ETHICAL IMAGES DEAD. Hee PARENTS EVEN CHILDREN WAKIKATAZWA not possessive MNAGOMBA SCHOOL PHONE .... WHAT WILL it? This trend will continue until LEADERS from level shehias (VILLAGE) TO NATIONAL AND PARENTS IN THE COMMUNITY WATAPOJISAFISHA. |
Translation History
|