Envaya

/m-e-d-1-1/news: English

BaseEnglish
MikakatiStrategiesEdit
Je Wajua?Did you know?Edit
Picha za MatukioPhotos of EventsEdit
Kutoka MitaaniFrom the StreetsEdit
WafadhiliDonorsEdit
Matukio YajayoUpcoming EventsEdit
WashirikaPartnersEdit
WASICHANA NA CHANGAMOTO KATIKA MABARAZA YA WANAFUNZI – Ikionekana kama ilishazoeleka ya kuwa viongozi wengi wanaopaswa kuongoza kundi au vikundi vya watu ni lazima awe mwanaume na hivvyo kuchangia kwa kiasi kikubwa kuendelea na ile dhana ya mfumo dume katika jamii zetu. ...GIRLS AND CHALLENGES IN THE COUNCIL OF STUDENTS – Regarded as ilishazoeleka that many leaders who should lead the group or groups must be a man and hivvyo contribute significantly to proceed with the concept of patriarchy in our society. ...Edit
(image) – Mandhari ya mji wa Dodoma inazidi kubadilishwa kwa kuboreshwa na wawekezaji mbalimbali kama ambavyo eneo hili la Independence Square linavyoonekana baada ya uboreshwaji uliofanywa na Benki ya Biashara ya Akiba (ACB.(Not translated)Edit
WAKETI KWENYE UDONGO DARASANI KWA UHABA WA MADAWATI – Wanafunzi katika shule ya msingi Chalula iliyopo Mvumi Makulu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanakabiliwa na uhaba wa madawati na kusababisha kuketi chini huku baadhi ya madarasa yakiwa hayana sakafu. – Hayo yalibainika hivi...SOIL CLASS sat on benches shortages – Students in elementary school Chalula existing rumors Makulu Chamwino District in Dodoma are faced with a shortage of desks and cause to sit down with some classes being not contain floor. – That yalibainika recently during the visit made...Edit
(image) – Uendelezaji wa Mji wa Dodoma unaozingatia ujenzi wa nyumba bora za kuishi unafanyika na kuufanya mji wa Dodoma kuwa nadhifu na wa kuvutia, Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA hainabudi kushughulikia suala la miundombinu ya barabara kwa haraka ili kukidhi mahitahi ya wakazi wa mji huu.(Not translated)Edit
(image) – Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya utawala bora kwa wanafunzi wa shule za Wilaya ya Chamwino yanayoendeshwa na MED kwa uhisani wa Oxfam.(Not translated)Edit
(image) – Mratibu wa Shrika la Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) Bw. Davis Makundi (aliye vaa shada) akiwa kwenye mahafali ya nane ya shule ya Msingi Chidachi.(Not translated)Edit
Kitaifa – Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka ...(Not translated)Edit
(image) – Mgeni rasmi katika mahafali - Chidachi alkimpa mkono wa pongezi mmoja wa wahitibu wa darasa la saba katika shule ya msingi Chidachi.(Not translated)Edit