Fungua

/mpalanocdo/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
Mafunzo ya kuimarisha uwezo wa wanawake viongozi Wilaya ya Mbozi kaza za Ichenjezia, Nyambili, Iyula, Isanza, Ipunga, Ihanda, (image) Mlowo, Ruanda na Isandula. Kwa Ruzuku kutoka women Fund Tanzania.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Sehemu ya mandhari ya Mto Mbaka unaoanzia kama chemchemi za Mlima Rungwe wilaya Rungwe na kutiririsha maji yake katika Ziwa Nyasa. Pongezi kwa Serikali na wakazi wa wilaya za Rungwe na Kyela kwa kuyatunza Mazingira yanayozunguka mto huo. Jitihada zaidi zinahitajika kuendelea kuhifadhi utajiri huu maridhawa. Picha na Adam Gwankaja.(Bila tafsiri)Hariri
UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA – La Mgambo limelia… – (image) Kesho Jumamosi tarehe Novemba 22, saa mbili mpaka saa tatu asubihi, siku moja kabla ya kuanza zoezi la kuandikisha orodha ya wapiga kura, Mratibu wa Asasi ya Mpalano CDO, ataruka live katika kipindi cha TUWEKANE SAWA Cha redio ya Ushindi FM 98.6 ya mjini Mbeya, kufafanua masuala mbali mbali kuhusiana na uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika...(Bila tafsiri)Hariri
DESEMBA 14, 2014- – UCHAGUZI NGAZI ZA CHINI ZA SERIKALI ZA MITAA – "Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura 287 (kwa Mamlakaza Wilaya) na Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) Sura 288 (kwaMamlaka za Miji) zinaelekeza kuwa Uchaguzi wa Viongozi wa Mitaa, Vijijina Vitongoji hufanyika klabaada ya miaka mitano (5). – Kwa mwaka 2014, uchaguziwa Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji, Mitaa;Wajumbe wa Halmashauri zaVijiji, na Wajumbe wa...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – AMANGULUNGULU- Matunda pori maarufu katika wilaya za Kyela na Rungwe. Yakikomaa na kuiva tayari kwa kuliwa hubadilika rangi na kuwa kahawia. Kutokana na uharibifu wa mazingira, MANGULUNGULU ni miongoni mwa matunda yanayoweza kutoweka kabisa. Picha na Adam Gwankaja(Bila tafsiri)Hariri
June Mwaka 2016,Mpalano CDO kwa ruzuku kutoka Women Fund Tanzania (WFT) ilitekeleza mradi wa Kuwajengea uwezo Wanawake na Wasichana ili kukuza haki zao za kiuchumi na kisiasa Wilaya ya Mbozi, Songwe, Tanzania. Mradi huu uliwawezesha viongozi wanawake wa kuchaguliwa na wa vikundi vya kijamii wakiwemo wasanii kukuza sauti zao katika katika vyombo vya maamuzi. Vyombo hivyo ni pamoja na mahali wanapofanyia shughuli zao za kiuchumi na katika ngazi ya...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Mpalano CDO(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mratibu wa Miradi wa Mpalano CDO, Ndugu Edson akitoa taarifa ya zoezi la kubainisha hali halisi ya shughuli za kitamaduni katika wilaya za Kyela na Rungwe, Mbeya Tanzania.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – AMANDONGOMILO: Matunda mwitu, katika wilaya za Kyela na Rungwe. Hayaliwi sana, lakini huaminika kuwa na madini ya chuma kwa kiwango kikubwa. Vijana hutumia matunda haya kutega ndege.(Bila tafsiri)Hariri
UCHAGUZI MKUU 2015 (Tangazo la Redio) – JE DIWANI WAKO WA SASA, ANATIMIZA WAJIBU WAKE? – SIKILIZA, – Mojawapo ya wajibu na kazi za diwani ni Kuhakikisha kuwa fedha na mali nyingine za Halmashauri zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa ya kuleta maendeleo na kuboresha huduma. – Fedha za...(Bila tafsiri)Hariri