Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/M-E-D-1-1/news
: Kinyarwanda
« Inyuma
1
2
Base
Kinyarwanda
(image) – Mmoja wa washiriki wa mafunzo ya uanzishaji wa Mabaraza ya Shule kwa njia ya kidemokrasia yaliyotolewa katika kijiji cha Mvumi Misheni. Mafunzo hayo ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa Haki zangu Sauti yangu unaotekelezwa na mashirika yasiyo ya kiserikali ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) na Women Wake Up (WOWAP) yote ya Dodoma kwa ufadhili wa Oxfam GB. Katika maoni ya washiriki hao waliomba suala la vifaa vya elimu hususan kwa wenye ulemavu lipewe...
(Not translated)
Hindura
(image) – Afisa mipango wa MED Luhaga Makunja,kulia akimsikiliza mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Kambarage iliyopo katika Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma mwalimu Emmanuel Ndepeka wakati wa ufuatiliaji wa utekelezaji wa mradi wa HAKI ZANGU SAUTI YANGU katika shule hiyo.
(Not translated)
Hindura
« Inyuma
1
2