Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
@Rev. Japhet Aloyce (Nzega District Tabora Region): Kuna njia nyingi za kutambua na kukabiliana na unyanyasaji wa Kijinsia kwa Wasichana. Unyanyasaji kwa wasichana mara nyingine hufanywa pasipo kukusudia, wengi wakichukulia vitendo vya unyanyasaji kijinsia kuwa vya kawaida kiasi kwamba wazazi, ndugu, walimu, waajira, madaktari na hata watetezi wa binadamu hushiriki kukiuka haki za wasichana. Njia mojawapo ya kutambua vitendo vya unyanyasaji kwa wasichana na kufanya utafiti shirikishi kwa jamii ili jamii ziweze kuibua vitendo vya unyanyasaji. Motokeo ya tafiti hizi yasambazwe kwa jamii na yatumike katika kuelimisha jamii athari za vitendo hivi. watu wenye taarifa na ufahamu wa kutosha juu ya vitendo vya unyanysaji na athari zake watakuwa katika nafasi nzuri ya kupapambana na unyanyasaji kijinsia kwa njia zifuatazo
|
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe