Envaya

/jeanmedia/topic/66899: Kiswahili

AsiliKiswahili
Tunawezaje kuifahamisha/kuielimisha jamii yetu kuhusu tatizo lililojificha/lililofichama,la udhalilishaji wa Kijinsia kwa wasichana – a) Tutatumia njia gani ili kutambua na kukabiliana na unyanyasaji wa kijinsia kwa wasichana ndani ya jamii zetu? – b)Je kuna mifano ipo katika jamii inayokuzunguka kuhusu tatizo hili kwa wasichana? – c) Je tatizo hili hutokea kwa sura gani? – Tafadhali...(Bila tafsiri)Hariri
@Rev. Japhet Aloyce (Nzega District Tabora Region): – Kuna njia nyingi za kutambua na kukabiliana na unyanyasaji wa Kijinsia kwa Wasichana. – Unyanyasaji kwa wasichana mara nyingine hufanywa pasipo kukusudia, wengi wakichukulia vitendo vya unyanyasaji kijinsia kuwa vya kawaida kiasi kwamba wazazi, ndugu, walimu, waajira, madaktari na hata watetezi wa binadamu hushiriki kukiuka haki za wasichana. – Njia mojawapo ya kutambua vitendo vya unyanyasaji kwa...(Bila tafsiri)Hariri
@Sango Kipozi (Dar-es-salaam, Jeanmedia): – Unyanyasaji wa kijinsia bado ni mkubwa si ​​tu...(Bila tafsiri)Hariri
Hapa ni FADECO RADIO,Karagwe. Suala la unyanyasaji wa kijinsia umeshika kasi katika wilaya ya Karagwe. Na kwa hapa, radio fadeco imeamua kufanya media campaign. Baado mikutano na wadau hapa wilayani inaendelea – Nipende kuwaalika wote wenye kuwa na la kuchangia in terms of advice kusaidia katika hili. Wasiliana nasi hapa@ – Sekiku Joseph – Radio FADECO – Email: ...(Bila tafsiri)Hariri
UNYANYASAJI/UDHALILISHAJI WA KIJINSIA KWA WASICHANA KWENYE JAMII YETU.(Bila tafsiri)Hariri