Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Tunawezaje kuifahamisha/kuielimisha jamii yetu kuhusu tatizo lililojificha/lililofichama,la udhalilishaji wa Kijinsia kwa wasichana a) Tutatumia njia gani ili kutambua na kukabiliana na unyanyasaji wa kijinsia kwa wasichana ndani ya jamii zetu? b)Je kuna mifano ipo katika jamii inayokuzunguka kuhusu tatizo hili kwa wasichana? c) Je tatizo hili hutokea kwa sura gani? Tafadhali changia mada hii ili utusaidie Jean-media katika project yetu mpya ya kujaribu kutatua matatizao ya ukiukwaji wa HAKI ZA BINAADAMU katika jamii yetu. Tumeona tushauriane na wadau wenzetu wanaotumia envaya, wakati huo huo tukifwatilia habari hizi katika maeneo ya Mtwara Vijijini |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe