Envaya
/M-E-D-1-1/post/8047
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Ntakuwa nafuatilia kwa ukaribu sana tovuti yenu! hasa ukurasa wa ''je wajua?"!!! nimependa sana style yenu!!! Keep it up!
(Not translated)
Hindura
Ninyi ni marafiki wa kweli maana mnaonekana kwenye shida. Taarifa zenu zimekuwa msaada sana katika Elimu ya Tanzania. Kupitia tovuti yenu mim binafsi nimeona hali halisi iliyoko uvunguni mwa kitanda. Kwa hiyo ni changamoto pia hata kwa wadau wa elimu katika mipango ya maendeleo ya elimu (Educational development planning). Keep it up.
(Not translated)
Hindura
Mikakati
(Not translated)
Hindura
Je Wajua?
(Not translated)
Hindura
Picha za Matukio
(Not translated)
Hindura
MED Hewani Kuanzia Mach 2011. – Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) inatarjia kuanza kuendesha vipindi vyake vya Radio kuhusu Elimu kuanzia mwezi Machi, 2011. Wanachama wa MED na wadau wote wa Elimu wanakaribishwa kushiriki kwenye vipindi hivyo. – Hayo yameelezwa na Mratibu wa MED Bw. Davis Makundi alipkuwa akiongea na mwandishi wa habari hizi ofisini kwake. Bw. Makundi amesema vipindi hivyo vitaendeshwa kwa udhamini wa mashirikaya HakiElimu na...
(Not translated)
Hindura
Kutoka Mitaani
(Not translated)
Hindura
Wafadhili
(Not translated)
Hindura
Matukio Yajayo
(Not translated)
Hindura
Washirika
(Not translated)
Hindura