(image) – Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Bi. Fatma Said Ally akiongea na wadau wa Elimu wakati wa uzinduzi wa mradi wa My Rights My Voice unaotekelezwa na Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) na Women Wake UP (WOWAP) kwa uhisani wa Shirika la Oxfam GB. Pichani mwenye shati la Blue ni Mratibu wa MED Bw. Davis Makundi na mwenye shati la Black ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino BBaltazary Ngowi. | (image) – Head of the District of Dodoma Region Chamwino Bi. Fatma Said Ally talking to stakeholders of Education at the launch of My Rights My project is implemented by the organization Voice of Dodoma Friends of Education (MED) and Women Wake UP (WOWAP) philanthropy for Oxfam GB. Pictured is a Blue shirt MED Coordinator Mr. Davis groups and a shirt Black is Acting Director of District Council Chamwino BBaltazary Ngowi. | Edit |