NDEBWE YALETA MABADILIKO KATIKA DEMOKRASIA. – Na. MED Information Unit – Shule ya Msingi Ndebwe iliyoko katika Halmashauri ya Wilaya ya Dodoma imeonesha matokeo mazuri katika uchaguzi wa kidemokrasia kwa kumchagua msichana kuwa Kiranja Mkuu wa shule hiyo na kuwashinda wavulana waliokuwa wapinzani wake wa karibu. ... | (Not translated) | Hindura |