About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/M-E-D-1-1/post/107595
: English
Base
English
Mikakati
Strategies
Edit
Je Wajua?
Did you know?
Edit
Picha za Matukio
Photos of Events
Edit
Kutoka Mitaani
From the Streets
Edit
Wafadhili
Donors
Edit
Matukio Yajayo
Upcoming Events
Edit
Washirika
Partners
Edit
(image) – Kiranja Mkuu wa Shule ya Msingi Ndebwe Iliopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma,Rossemary Masaka. Haya ni moja ya mafanikio ya mradi wa HAKI ZANGU SAUTI YANGU,mradi ambao umeleta mapinduzi katika chaguzi mashuleni Wilayani Chamwino tofauti na zamani ambapo walimu ndio walikuwa wakiteuwa viongozi,jambo ambalo lilikuwa likiwanyima haki wanafunzi kuchagua viongozi wanaowataka. Hapa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ndebwe walitumia Demokrasia kuchagua vingozi...
(image) – Head prefect Primary School District Ndebwe existing Chamwino Dodoma Region, Rossemary Masaka. This is one of the achievements of the project MY RIGHTS MY VOICE, a project that has brought a revolution in school district elections Chamwino different from the past where teachers were appointed leaders, which was right likiwanyima students choose leaders who urged. Here students of the School of Basic Democracy Ndebwe used to select leaders in their...
Edit