Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/esupat/news
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
JUKWAA LA WAPAMBANAJI VVU/UKIMWI KATIKA MANISPAA YA ARUSHA: Jukwaa ni nini? ni mkusanyiko wa naharakati kutoka eneo moja wenye lengo linalofanana na kusudio moja kufuatilia matokeo yaliyokubaliwa kwa pamoja hivyo;jukwaa hili ni chanzo cha kuandaa mikakati ya kufikisha malengo ya kikundi. MAANA YA WAPAMBANAJI: Ni wanaharakati ambao wanahitaji kukabiliana na vikwazo mbalimbali ili kufikia hatua au mipango waliojipangia. vikwazo hivyo vyaweza kuwa unyanyapaa,mila na desturi...
(Not translated)
Hindura
Kwa nini mradihuu unahitajika?Kwenyemradi wetu uliopita katika kata mbili za manispaa ya Arusha yaani unga ltd na sokon 1 tuligundua watu hawakujitokeza kupima VVU/UKIMWI Katika vituo mbalimbali ndani ya manispaa kutokana nauelewa mdogo na kutojua umuhimu au faida ya kupima na kujitambua. Kwa sababu hii inachangia maambukizi kuendelea kuongzeka kila mwaka badala ya kupungua watu wengi wanafanya ngono pasipo kutumia kinga. Pamoja na usambazaji na upatikanaji wa...
(Not translated)
Hindura
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)