Base (Swahili) | English |
---|---|
CHAVITA YALIA NA KUSAHAULIWA NA SERIKALI. Na. Barakaelly Mosi Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kimesikitishwa na kitendo cha Serikali kuwasahau katika mipango yake na kuwafanya walemavu kuwa omba-omba kutokana na kusahauliwa huko. Hayo yalielezwa na washiriki wa mjadala wa kuangalia changamoto za walemavu wasiosikia (Viziwi) lililoandaliwa na CHAVITA kwa ufadhili wa Jumuia ya Kiraia ya The Foundation for Civil Society. Washiriki wa mjadala huo walisikitishwa na kitendo cha serikali kushindwa kuajiri wataalam wa lugha ya alama katika taasisi zake muhimu kama Polisi, Mahakamani, Bungeni, Hosipitali, ofisi za Halmashauri na Televisheni ya Taifa ili kurahisisha uwasilishaji wa taarifa kwa walemavu hao bila sababu zozote za msingi. Washiriki hao walisema kuwa serikali haina nia ya dhati ya kuwapatia wenye ulemavu wa kusikia haki yao ya msingi ya kuwapatia taarifa kutokana na kuwa wataalam wa lugha ya alama wapo; taasisi zake zinazo fedha za kuweza kuwaajiri lakini hawafanyi hivyo, tatizo ni nini? walihoji. Aidha walieleza kuwa chama chao kiko tayari kutoa mafunzo kwa watu mbalimbali wenye nia ya kujifunza lugha ya alama ili waweze kurahisisha mawasiliano baina yao miongoni mwa jamii. walitoa rai kwa mashirika, taasisi na vyama mbalimbali vya kiraia kuwa na utaratibu wa kujifunza luhga ya alama ambayo walidai ni rahisi kujifunza na kueleweka kwa urahisi. ****************************************** MARAFIKI WA ELIMU WAJADILI MSWADA WA SHERIA YA UZAZI SALAMA Na. Davis. Makundi Wanaharakati wa Elimu kupitia asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma wamepata fursa ya kuijadili rasimu ya Mswada wa sheria ya uzazi salama 2012; na kutoa maoni yao juu ya namna ya kuuboresha mswada huo ambao baadaye utakuwa sheria kamili baada ya kupitishwa na Bunge na kusainiwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mjadala huo ulioandaliwa kwa ushirikiano baina ya mashirika ya CARE International, Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) na Shirika la Utepe Mweupe ambapo Mkoani Dodoma mwenyeji wa mashirika hayo ilikuwa asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED). Washiriki hao walipendekeza kuwa katika mtaala wa elimu liwepo somo la Afya ya Uzazi kwa wanafunzi wa kuanzia angalau darasa la tano na kuendelea hadi katika vyuo ili kuifanya jamii ipate uelewa wa kutosha kuhusiana na suala la uzazi wa mpango na manufaa yake katika jamii na taifa. Ili kuepuka suala la ndoa za utotoni ambalo licha ya kuwa sasa linapigwa vita na watu mbalimbali Majadiliano hayo pia yaliambatana na maswali na majibu kutoka pande zote zilizoshiriki (Wawezeshaji na wanafunzi) ambapo kila upande ulionesha umahiri mkubwa katika kuuliza na kujibu maswali hayo. Katika mjadala huo maswali kuhusiana na sheria ya makosa ya kujamiiana 1999 na maswali yahusianayo na Afya ya uzazi yaliulizwa kwa wingi hali iliyoufanya mjadala huo kutoa nafasi kwa idadi kubwa ya washiriki kuchangia. Washiriki waliomba serikali, taasisi mbalimbali na asasi zisizo za kiserikali kuwezesha kufanyika kwa mijadala ya aina hiyo mara kwa mara ili kukuza uelewa wa wanafunzi na Club za marafiki wa Elimu ili elimu hiyo iyafikie makundi mbalimbali ya jamii kwa haraka. Akifunga mjadala huo Meneja wa Miradi kutoka sherika la CARE International Bw. David Lyimo aliwataka washiriki kuimarisha Club zao na kuongea bidii katika masomo ili kuwa mfano katika jamii ndani na nje ya shule kwa kufanya vyema kila wakati katika masomo yao pamoja na tabia zao kwa ujumla. |
CHAVITA YALIA and forgotten by the government. And. First Barakaelly Deaf Association of Tanzania (CHAVITA) kimesikitishwa the act of forgetting the Government plans to make the disabled have prayed-prayed for oblivion there. These were described by participants of the discussion to look at the challenges of disabled Deaf (Deaf), organized and financed by Community CHAVITA Society of The Foundation for Civil Society. Participants of the discussion were disappointed with the action of government's failure to hire experts sign language in its institutions as important as police, courts, Parliament, hospitals, offices of local authorities and national television in order to simplify the presentation of information to disabled them without any reasons for the foundation. These participants said that the government has no commitment to provide them with disabilities to hear their entitlement based on providing information from specialists in sign language are, its institutions lights funds to hire but they do so, the problem is? they asked. They also mentioned that their party is ready to train with different people interested in learning sign language so they can facilitate communication between them in the community. They appealed to organizations, institutions and associations of civil society to be organized to learn luhga of symbols, which they claim is easy to learn and understand easily. ****************************************** FRIENDS DISCUSS THE EDUCATION BILL OF LAWS OF REPRODUCTIVE SAFE And. Davis. Groups Activists of Education through the organization Friends of Education Dodoma have had the opportunity to discuss a draft bill of law of safe motherhood in 2012, and offer their opinions on how to improving the bill that later will be a comprehensive law after approval by Parliament and signed by Hon. President of the United Republic of Tanzania.
The discussion was organized in cooperation between the organizations of CARE International, Tanzania Women Lawyers Association (TAWLA) and White Ribbon organization where Dodoma Region was host of organizations organization Friends of Education Dodoma (TO). These participants suggested that the curriculum of education to entertain the subject of reproductive health to students from at least grade five and continued until the colleges to make the community may be understanding enough about the issue of family planning and its usefulness in the community and nation. To avoid the issue of child marriage, which despite being present linapigwa war and various people Talk it also yaliambatana and questions and answers from all sides involved (Facilitators and students) in which each side showed great skill in asking and answering questions. In the discussion questions related to sexual offenses law in 1999 and questions related to reproductive health situation in bulk yaliulizwa iliyoufanya debate provide an opportunity for a large number of participants to contribute. Participants were asked to state institutions and NGOs to enable discussions to take place for that kind regularly to promote awareness of students and the Club of Friends of Education to education iyafikie different community groups quickly. Summing up the debate from the Project Manager of CARE International sherika Mr. David Lyimo Club urged the participants to strengthen their efforts in learning to speak a model in the community within and outside of school to do well every time in their studies and their behavior in general. |
Translation History
|