Wanaharakati Wajadili Mchakato wa Katiba Mpya. – Mchakato wa kuandika katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unazidi kushika kasi zaidi nchini baada ya wanaharakati wa mikoa saba kukutana Dodoma kujadili na kujifunza juu ya katiba ya sasa na mapungufu yake na jinsi ya kuelimisha wananchi umuhimu wa kuwa na katiba mpya. – Warsha hiyo ya sikun tatu inafanyika katika Hoteli ya Dodoma inahudhuriwa na wawakilishi wa Mitandao ya Asasi za Kiraia kutoka katika... | Activists discuss the process of constitutional line. – The process of writing a new constitution of the United Republic of Tanzania is increasingly gaining momentum over the country after seven activists meet Dodoma regions to discuss and learn about the current Constitution and its limitations and how to educate the public need for a new constitution. – The workshop takes place in a three-kun Dodoma Hotel attended by representatives of Civil Society Networks in... | Edit |