Wazazi waaswa na Tuisheni za wanavyuo. – Wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule ya Sekondari ya Kikuyu Manispaa ya Dodoma wameaswa kujihadhari na Tuisheni zinazoendeshwa na wanavyo kwani zina madhara makubwa kuliko faida. – Rai hiyo ilitolewa kwenye mkutano wa wazazi wa wanafunzi wa kidato cha pili na cha nne wanaosoma katoka shule hiyo kufuatia malalamiko kuwa wengi wa wanafunzi wa shule hiyo wanajihusisha na masuala ya ngono na wanachuo wa St.... | Parents should especially with Tuisheni of the colleges. – Parents of students who are studying in Secondary School in Dodoma Municipality Kikuyu are trapped Tuisheni operated aware of what they have as serious consequences than benefits. – Rai was released at the meeting that the parents of students form the second and fourth who read it went out of school following complaints that many school students are involved with issues of sex and... | Edit |