MED Yaomba Wastaafu Kufundisha kwa Mikataba. – Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma MED imemwomba Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ushari ya Wilaya (DCC) Bw. John Tuppa; kuishauri kamati yake ili iwatumie walimu wastaafu kufundisha shule za sekondari za kata. – Barua ya MED yenye maombi hayo iliwasilishwa kwa Mkuu wa Wilaya kwa lengo la kusaidia kupunguza tatizo la uhaba wa walimu katika shule za kata katika Wilaya ya Dodoma. ... | WITH Teaching Contracts ask for pensioners. – Institutions of the Community Education General imemwomba WITH Dodoma Dodoma Urban District, who also is chairman of the District Committee of evil (DCC) mr. John Tuppa, its committees to advise iwatumie retired teachers to teach secondary school in the county. – WITH a letter of application that was presented to the District in order to help reduce the problem of shortage of teachers in county schools in the... | Edit |