Base (Swahili) | English |
---|---|
@NG'ONYE JOHN (Mkurugenzi wa Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Kitangari.): Vizuri sana John;Nafikiri watu wanahamu kubwa ya kupata dawa ya ugonjwa huu;hasa wale ambao wameshaathirika ndio maana watu wengine (siyo babu wa loliondo) wanatumia njia ya kujipati fedha wakijua kwamba dawa haitibu lakini watu watanunua na pesa itapatikana kwa biashara hiyo.)angalia jinsi vikombe vilivyoongezeka hivi karibuni),mara cha bibi,mara cha nani;siwalaumu hii yote ni kwa sababu ya umasikini wa muda mrefu na bado wana hamu ya kufikia malengo yao au maisha bora. Hivyo ni vizuri tufanye utafiti kwanza kabla ya kukubaliana na jambo nyeti kama hili la dawa ya ukimwi. Kwa ujumla kwa maoni yangu maabukizi yamepungua hasa kutokana na watu kuhamasika kutumia kinga lakini kutoa taarifa kila mwezi inakuwa ngumu kwani watanzania wa sasa tumepoteza uzalendo kila mtu awe mtumishi wa uma au la anataka ajipatie kipato kwa lolote anlofanyo hajali wananchi wenzake. Nashauri watu wenyewe pamoja na taarifa wajithamimi na kujilinda dhidi ya ugonjwa juu |
@ NG'ONYE JOHN (Director of the Institute of Anti-AIDS Kitangari.): Very good John, I think people are eager to get medicine for this disease, especially those who are affected are for other people (not the father of Loliondo) are used through kujipati money knowing that the drug is itibu but people will buy and the money will be available for trade.) Looked How cups vilivyoongezeka recently), was the grandmother, who was a, I blame all this is because of poverty and still have a long desire to achieve their goals or lifestyle. So it is good to do research first before agreeing to a sensitive matter like this AIDS drug. In general, in my opinion maabukizi has decreased mainly due to people motivated to use protection but provide information every month it becomes difficult for Tanzanians now have lost the patriotism of every person to be the servant of the public wants or she can make any income anlofanyo not care about his fellow citizens. I advise people themselves with the information wajithamimi to protect against the disease on |
Translation History
|