Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/takuuki/topic/23163
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
@NG'ONYE JOHN (Mkurugenzi wa Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Kitangari.): – Vizuri sana John;Nafikiri watu wanahamu kubwa ya kupata dawa ya ugonjwa huu;hasa wale ambao wameshaathirika ndio maana watu wengine (siyo babu wa loliondo) wanatumia njia ya kujipati fedha wakijua kwamba dawa haitibu lakini watu watanunua na pesa itapatikana kwa biashara hiyo.)angalia jinsi vikombe vilivyoongezeka hivi karibuni),mara cha bibi,mara cha nani;siwalaumu hii yote ni kwa sababu ya...
(Bila tafsiri)
Hariri
Ugonjwa wa UKIMWI bado ni tatizo katika nchi yetu ya Tanzania,lakini baadhi ya wananchi wengine wanaonesha kuridhika kuwepo kwa Ugonjwa huu eti kwasababu ya kupatikana kwa tiba ya miti shamba kama ambavyo babu Mchungaji Ambilikile wa Loliondo anavyotibu kwa Kikombe.Kuridhika kwao hudiriki kusema sasa ugonjwa huu umepata dawa ya kutibu.Ninachopenda kueleza kwa wenzangu ni kwamba tusiache kuchukua tahadhari kwa kisingizio kwamba Dawa...
(Bila tafsiri)
Hariri
Ugonjwa huu bado ni tishio katika nchi yetu ya Tanzania,tunachotakiwa kufanya ni kuendelea kuhamasisha jamii kujikinga na ugonjwa huu.
(Bila tafsiri)
Hariri
Hii ni Kitangali ya Mtwara Newala au Kitangali nyingine?
(Bila tafsiri)
Hariri
Asante kwa swali lako, Hii ni Kitangari ya Mtwara iliyopo wilaya ya Newala. Hakuna nyingine.Usifananishe na Kitangiri.
(Bila tafsiri)
Hariri
HALI YA UGONJWA WA UKIMWI TANZANIA.
(Bila tafsiri)
Hariri